miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kile kipande cha same to njia panda kinaangusha magari balaa maana kimenyooka halaf upepo mkali mru akikimbia anaona kama amesimama1.Mombo-Same...pia kuna kipande fulani kutoka Kabuku kwenda Segera sio kibaya sana.
2.Gari gani hizo zinasemwa?
Hio ya kusema barabara mbili tu zinakupa 170kph au zaidi kwa dakika nne umepima gari zote Tanzania?
Ukitaka nguvu, usalama, comfortability... gari ya mjapan ni JIBU, chuma ya mjerumani ndiyo JAWABU!
Nachoipendea Subie bana ukitaka kuichanganya papo kwa papo kitu twende tu.Kumbe ulipewa lift, gari hiyo harrier nayo inatembea tu fresh sema kwakuwa ni lift lazima uvumilie, barabara ya moshi nnazoefu nayo sana ila hadi leo gari ninayoipigia salutu ni fortuner, japo sijawahi endesha gari ya tofauti kutoka kampuni ya toyota zaidi ya subaru na mitsubishi
Nachoipendea Subie bana ukitaka kuichanganya papo kwa papo kitu twende tu.
Uko sahihi kbs. Siwezi ifananisha subie na fortuner. Nitakua ninemkosea sana adabu mkuuMzee fortuner manual 1kd achana nayo hiyo kitu huyo subie anasubiri bahati nimeendesha subie zote forester old na new model ila new model nyepesi road
Kwa ule upepo wa pale sijui kwanini hua hawaweki zile machine za kuzalishia umeme za kutumia upepo hahah.Kile kipande cha same to njia panda kinaangusha magari balaa maana kimenyooka halaf upepo mkali mru akikimbia anaona kama amesimama
Woga wenu msiidhalilishe Subaru. Labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Lakini Subaru proper haiwezi kusumbuliwa na pick up iliozibwa nyuma. Yes Fortuner ni Hilux iliozibwa nyuma.Uko sahihi kbs. Siwezi ifananisha subie na fortuner. Nitakua ninemkosea sana adabu mkuu
Ila hizi forester new model(SH Kwenda juu) shape yake mizinguo aisee,bora SG naona iko poa sana.Mzee fortuner manual 1kd achana nayo hiyo kitu huyo subie anasubiri bahati nimeendesha subie zote forester old na new model ila new model nyepesi road
Ila hizi forester new model(SH Kwenda juu) shape yake mizinguo aisee,bora SG naona iko poa sana.
Ni mtizamo wangu tu lkn huo.
Woga wenu msiidhalilishe Subaru. Labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Lakini Subaru proper haiwezi kusumbuliwa na pick up iliozibwa nyuma. Yes Fortuner ni Hilux iliozibwa nyuma.
1kd kwenye fortuner napenda tu muungurumo wake lkn kwny mbio hamna kitu subaru itamuacha asubuhi tu.Woga wenu msiidhalilishe Subaru. Labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Lakini Subaru proper haiwezi kusumbuliwa na pick up iliozibwa nyuma. Yes Fortuner ni Hilux iliozibwa nyuma.
Nakubali mkuu.New model mm naona inabodi nzuri ila kwa sura zile second generation zinanivutia zaidi
Nawashangaa hawa. SUV ninazoziogopa ni VX V8 na Y62 V8 tu1kd kwenye fortuner napenda tu muungurumo wake lkn kwny mbio hamna kitu subaru itamuacha asubuhi tu.
Na mimi ni dereva sio learner hio Fortuner haina mwendo wa kuisumbua Subaru labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Hizo Fortuner,Prado za diesel huwa nazitandika nitakavyo na gari ya cc2000 tu, Kwanza haziko stable(unaweza usinielewe)Mzee acha utani RRONDO mimi nimeendesha zote na kwa bahati mm ni dereva sio leaner hivyo najua nnachoongea
Crown wala haihitaji kuzungumziwa shughuli yake inajulikana.Team crown mbona siwaoni wakitumwagia madini huyu na unyama ndege ya chini hasa Athletes hii kitu ni simba kwa gari zote za sedan
Kweli mkuu hayo madude hua yanatembea sana na yako stable barabarani.Nawashangaa hawa. SUV ninazoziogopa ni VX V8 na Y62 V8 tu
Na ni kwel ni ngumu kukulewa mkuuNa mimi ni dereva sio learner hio Fortuner haina mwendo wa kuisumbua Subaru labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Hizo Fortuner,Prado za diesel huwa nazitandika nitakavyo na gari ya cc2000 tu, Kwanza haziko stable(unaweza usinielewe)