miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kile kipande cha same to njia panda kinaangusha magari balaa maana kimenyooka halaf upepo mkali mru akikimbia anaona kama amesimama1.Mombo-Same...pia kuna kipande fulani kutoka Kabuku kwenda Segera sio kibaya sana.
2.Gari gani hizo zinasemwa?
Hio ya kusema barabara mbili tu zinakupa 170kph au zaidi kwa dakika nne umepima gari zote Tanzania?