Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuuNadhani ni ukweli mchungu kwa vijana wa Tanzania...
- CCM inaivuruga nchi itakavyo, wapo!
- Wamekuwa vijana wa Kinondoni, wapo!
- Uchawa, Umario, Upunda ndo mishe zao.
Waje tu hatuwaogopi
Ujumbe umekufikia mkuu...... Ukitaka pasukaWewe unayejitambua mbona unaishi kwenu na baba yako unataka akulipie Kodi tena? Au undhani hatukujui..... Jitambue boya wee. ... Panya buku.....
Halafu uwe na adabu kijana .... Utaozea kwenu bila mtoto nikikuloga fala wee..... au unabisha???Ujumbe umekufikia mkuu...... Ukitaka pasuka
Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
Gusa unase mm Huku ndio mwenyekiti wa wachawi.Halafu uwe na adabu kijana .... Utaozea kwenu bila mtoto nikikuloga fala wee..... au unabisha???
Toka weee nyie inawahusuVijana wote mkuu au ni nyinyi wachache!! 😆