Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Hili tukio lilitokea Namtumbo, kijiji cha mgombasi. Nakumbuka vzuri sana.

Kule kwetu Songea hatuna mzaha. Tukio la kifo halieleweki, watu wanadeal na watuu,

Huyu waziri ilibidi akwidwe robaaaa, pigwa ngwalaaaa. Pigwa butiii akitoka hapo yuko hanya hanyaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
This is BAD, kama Taifa tumefika pabaya lakini hakuna namna lazima viongozi waone hizi reactions ili hatua zichukuliwe, na endapo wataamua kupuuzia basi this will go to extramile
 
amemuokoa Masauni kutokana na hasira za waombelezaji, vinginevyo leo wangemgaeana vipande... ali keep the peace... kongore kwake...
Wana ushahidi gani kwamba mauaji ya Kibao yana uhusiano na cheo cha waziri wa mambo ya ndani?. Ni mihemko iliyozoeleka, na waziri kawa muungwana kwa kuamua kutulia.
 
Tatizo ni kutowepo kwa ushahidi wa waziri kuwa upande wa wauaji. Ushahidi una nguvu sana mahakamani, hizi tuhuma za JF na huko kwenye mitandao mingine hazina nguvu ikiwa huwezi kupelekea ushahidi unaojitosheleza mbele ya vyombo vya sheria.

Ni muendelezo ule ule wa serikali kivuli za mitandaoni, zinaanza kutoa maoni na kumaliza kwa mawazo huru yenye kutawaliwa na hasira nyingi.
 
Wana ushahidi gani kwamba mauaji ya Kibao yana uhusiano na cheo cha waziri wa mambo ya ndani?. Ni mihemko iliyozoeleka, na waziri kawa muungwana kwa kuamua kutulia.
Angeuliwa waziri wa mambo ya ndani ungesema hivi? Maisha ya Kibao kwako hayana umuhimu woowote. Ndioo maana unasema hivi. Mtu anatekwa, anateswa, anauliwa na vyombo vya usalama. Kuna usalaama gani kwa raia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…