Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe unaona sawa tu! Basi hata wale wanaopelekwa mahakamani kwa kosa la mauaji nao wasipelekwe kwa sababu hata wakihukumiwa marehemu hawezi kurudi halafu jiulize hali ikiwa hivyo itakuwaje?Naomba kuuliza… akijihuzuru ndo utekaji utaishaa??🤔
Wananchi wataanza kutembea na Visu na Silaha mifukoni na ndio mwanzo wa kuCollapse kwa Rule of Law.Hivi unajua wananchi karibu nchi nzima Kwa sasa wanahasira sana, wanaona hawapo tena salama
Hili tukio lilitokea Namtumbo, kijiji cha mgombasi. Nakumbuka vzuri sana.Kule Ruvuma iliwahi kutokea kijana mmoja alikufa kwenye mazingira tatanishi, na wajuzi wa mambo wakasema ni baba mzazi wa kijana amehusika. Baba yule aligoma kwenda makaburini wakati wa maziko, akidai anaumwa. Watu wakiwa wameandaa kaburi tayari, wakajadiliana kuwa hawawezi kumzika marehemu bila ya Baba yake kuwepo. Wakatumwa watu kwenda kumbembeleza baba, wakiwa wamempelekea usafiri. Baba akafika kaburini. Kufika tu wakamnyanyua juu juu na kumwingiza ndani ya kaburi lililokuwa limeandaliwa kwaajili ya mwanae. Wakampa dakika 5 za kusali kama anataka. Baada ya hapo walirusha udongo kwa kasi ya ajabu. Walipomaliza kumzika akiwa hai wakaanza kuandaa kaburi la marehemu, kijana wake. Polisi wanafika kwenye tukio, ndiyo mwili wa marehemu unashushwa kaburini. Polisi wakaamuru kuanza kufukua kaburi la yule baba. Lakini tayari alikuwa amekwishakufa.
Hii inatufundisha kuwa kama wewe upo upande wa wauaji hustahili kwenda msibani. Unaenda kuwazidishia huzuni na hasira waombolezaji. Mauaji ya ndugu yetu Ali Kibao yamefanywa na agents wa Serikali, halafu mtu wa Serikali anaenda na rambirambi, mbona ni dhihaka kubwa sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee...'Tyuu'... Haka kamsemo kanataka kuniharibu na mimi nisipojirekebisha wa alah?
Hata kukataa dhulma ni ibada piaSasa wangemaliza kwanza hiyo shughuli ya mazishi Kisha mambo MENGINE yafuatie.,ni ibada hiyo...
Naam watu wamechafukwa, haya mambo serikal wasipo angalia tunaelekea kubaya
Nyinyi mnaosema kakosea mnajificha kwa ID feki za Jamiiforum, huu ndio uwezo wenu wa kuanzisha harakati za mapambano unapoanza na kuishia.Kama Mbowe kawazuia hao waombolezaji amekosea sana, mbowe ndie huwa anarudishaga nyuma sana mapambano nchi hii.
Wana ushahidi gani kwamba mauaji ya Kibao yana uhusiano na cheo cha waziri wa mambo ya ndani?. Ni mihemko iliyozoeleka, na waziri kawa muungwana kwa kuamua kutulia.amemuokoa Masauni kutokana na hasira za waombelezaji, vinginevyo leo wangemgaeana vipande... ali keep the peace... kongore kwake...
Tatizo ni kutowepo kwa ushahidi wa waziri kuwa upande wa wauaji. Ushahidi una nguvu sana mahakamani, hizi tuhuma za JF na huko kwenye mitandao mingine hazina nguvu ikiwa huwezi kupelekea ushahidi unaojitosheleza mbele ya vyombo vya sheria.Kule Ruvuma iliwahi kutokea kijana mmoja alikufa kwenye mazingira tatanishi, na wajuzi wa mambo wakasema ni baba mzazi wa kijana amehusika. Baba yule aligoma kwenda makaburini wakati wa maziko, akidai anaumwa. Watu wakiwa wameandaa kaburi tayari, wakajadiliana kuwa hawawezi kumzika marehemu bila ya Baba yake kuwepo. Wakatumwa watu kwenda kumbembeleza baba, wakiwa wamempelekea usafiri. Baba akafika kaburini. Kufika tu wakamnyanyua juu juu na kumwingiza ndani ya kaburi lililokuwa limeandaliwa kwaajili ya mwanae. Wakampa dakika 5 za kusali kama anataka. Baada ya hapo walirusha udongo kwa kasi ya ajabu. Walipomaliza kumzika akiwa hai wakaanza kuandaa kaburi la marehemu, kijana wake. Polisi wanafika kwenye tukio, ndiyo mwili wa marehemu unashushwa kaburini. Polisi wakaamuru kuanza kufukua kaburi la yule baba. Lakini tayari alikuwa amekwishakufa.
Hii inatufundisha kuwa kama wewe upo upande wa wauaji hustahili kwenda msibani. Unaenda kuwazidishia huzuni na hasira waombolezaji. Mauaji ya ndugu yetu Ali Kibao yamefanywa na agents wa Serikali, halafu mtu wa Serikali anaenda na rambirambi, mbona ni dhihaka kubwa sana!!
Sisi Watanzania hatujazoea kuuwana huu Msiba umelitia huzuni TAIFA ZIMA.
Siasa za kuuana ni huko Congo Somalia na kwengineko
Angeuliwa waziri wa mambo ya ndani ungesema hivi? Maisha ya Kibao kwako hayana umuhimu woowote. Ndioo maana unasema hivi. Mtu anatekwa, anateswa, anauliwa na vyombo vya usalama. Kuna usalaama gani kwa raia?Wana ushahidi gani kwamba mauaji ya Kibao yana uhusiano na cheo cha waziri wa mambo ya ndani?. Ni mihemko iliyozoeleka, na waziri kawa muungwana kwa kuamua kutulia.
Ameongezea na Torture and Extrajudicial KillingsLabda hizi ndio zile 4R alizoahidi Sa100