Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Yaa i tunge kuwa na Rais serious haikutakiwa hadi leo Masauni, IGP Wambura, Simbachawene na Dg wa usalama kuwepo ofisini hadi leo. Hii nchi inako kwenda siko!!!! Lakini kwa kiburi na dharau ati hadi msibani wana kwenda watuhumiwa.
 
Afadhali wananchi wanaanza kuamka, kuwa na uchungu na haya yanayoendelea. Mwanzo mzuri, huyo kaka aliyesimama nyuma ya Masauni ni shujaa. Kasimama anapiga makofi na kusema Masauni atoke, Masauni kamgeukia nyuma. Kaka hana habari anaendelea na harakati zake. Safi kwenye haki hakuna kuogopa mtu.
 
safi ndugu zangu wa Tanga. ningekua familia ya marehemu ningemuambia hadharani Masauni na wasenge wenzake wa serikalini waondoke wasishiriki watuachie msiba wetu. mmuue mtu kisha mjidai kuja kushiriki maziko..huyo Masauni kwani hajui wauaji unafikiri? sa100 ni muuaji na vibaraka wake wote.
 
Kelele zimeibuka baada ya waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni akihutubia msibani kwa mzee Ali Mohamed Kibao baadhi ya waombolezaji wakipiga kelele wakimtaka Masauni kujiuzulu nafasi yake kama waziri wa mambo ya ndani wakis
Your browser is not able to display this video.
hindwa kudhibiti matukio ya utekaji na ukatili yanayoendelea nchini.
 
Nadikiri katika hili Masauni hakupaswa kugusa eneo hilo la msiba! Ni lazima misimamo kama hii ikaanza kuwekwa hili kuwepo mabadiliko!

Ningekuwa mimi Mbowe Masauni asingeligusa hapo msibani
 
Kama serikali haija ondoka na funzo hapa, basi subiri yajayo ambayo yata kuwa yana furahisha zaidi. Yaani watuhumiwa wana kwenda kuomba dua msibani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…