LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Yaa i tunge kuwa na Rais serious haikutakiwa hadi leo Masauni, IGP Wambura, Simbachawene na Dg wa usalama kuwepo ofisini hadi leo. Hii nchi inako kwenda siko!!!! Lakini kwa kiburi na dharau ati hadi msibani wana kwenda watuhumiwa.Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.
Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi mpaka pale Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwataka watulie na wasikilize hotuba yake.
Soma zaidi:
==>CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
==> Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
==> Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
==> Kuuawa kwa Mzee Ally Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi
==> Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga