Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mshana kitu kingine katika picha hii mchungaji pamoja na kukaa karibu na mtoto na the so called baba ya mtoto bado mkono wake wa kulia umegusa bega la mama mtoto na sio Baba mtoto.
Yeah... So sad...!!!halafu hana pete ya ndoa
 
Uislamu umekataza kupiga picha viumbe vyenye roho. Hukumu ya picha kwa mujibu wa uislamu ni katika madhambi makubwa na ni laana.
Wapi uislam umekataza kupiga picha? Huyo Muhammad aliijua picha? Tasweer aliyosema yeye ni sanamu za kuchonga na kufinyanga. Enzi ya Muhammad picha ilikuwepo?

Picha ina uharam gani?
 
Yaan siku hizi naogopa kupiga picha wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…