Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mmoja nimemfahamu ni r.i.p Kandoro, je huyo mwingine ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja nimemfahamu ni r.i.p Kandoro, je huyo mwingine ni nani?
Duh alafu Leo anazinguliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mshana kitu kingine katika picha hii mchungaji pamoja na kukaa karibu na mtoto na the so called baba ya mtoto bado mkono wake wa kulia umegusa bega la mama mtoto na sio Baba mtoto.
Yeah... So sad...!!!halafu hana pete ya ndoaMshana kitu kingine katika picha hii mchungaji pamoja na kukaa karibu na mtoto na the so called baba ya mtoto bado mkono wake wa kulia umegusa bega la mama mtoto na sio Baba mtoto.
Kwenye hali ya kurelax kabisa ukivuta pumzi unahesabu moja ukitoa pumzi unahesabu mbili
Ya mshumaa sijawahi fanya ila unautazama
Wapi uislam umekataza kupiga picha? Huyo Muhammad aliijua picha? Tasweer aliyosema yeye ni sanamu za kuchonga na kufinyanga. Enzi ya Muhammad picha ilikuwepo?Uislamu umekataza kupiga picha viumbe vyenye roho. Hukumu ya picha kwa mujibu wa uislamu ni katika madhambi makubwa na ni laana.
Duu... Wote wanaunga juhudi kwa nguvu zote sasaMoja kati ya uzi ambao bado naufuatilia kwa kinaView attachment 1185020
Na wamelamba vyeoDuu... Wote wanaunga juhudi kwa nguvu zote sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moja kati ya uzi ambao bado naufuatilia kwa kinaView attachment 1185020