Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hawawezi machozi jasho na damu.. [emoji117][emoji117][emoji117]nimekupata vizuri sana
Walikuja Chadema kujiunga demokrasi au kuangalia kama kuna demokrasia? Wameshindwa kuendana na kasi ya mabadiliko! Hawawezi machozi jasho na damu

Jr[emoji769]
 
Aisee acha uongo,..mzee said mabela Ni jiran yetu tangia mwaka 1990 maeneo ya kigogo mburahati,..na wanae wote nimesoma nao,..akiwemo bakari, sadick na wengine..baada ya kutofautiana na mkewe akahamia mbagala...na mpaka muda huu huyu mzee Ni mzima wa afya..tele. japo uzee umeshamtembelea...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini si wajuu wawili wamefariki?
Jr[emoji769]
 
Nashukuru kwa Masahihisho! Niliteleza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…