Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimeamini Ila unabidi utulize akili zako unapotazama,Kuna Mara mbili ukawa na furaha au kilio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ukitafsiri ni kama Jomo Kenyatta anasema tegemeo la wakenya baadae.Moi naye hapo nyuma anasema huyu dogo atakuja kuwa raisi wa nchi hii.
Hata hivyo alivyozaliwa Uhuru mwaka 1961.Jomo Kenyatta alikuwa Nakuru akatoa habari kwenye mkutano.Leo mama Ngina amewaletea kijana Uhuru atawapeleka kwenye mto wa maziwa na asali.Kenya ikaja pata Uhuru 1964.Na sasa Uhuru ni raisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maono.... Yaliyotimia... Lakini hata wao hawakujua utimilifu huu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Hawa vijana wawili wa kiume walifariki kwenye shambulio la Alshabab Westgate Nairobi... Huyu dada alifariki kwenye shambulio kama hilo kwenye hotel Somalia mwaka jana huyo dada alikuwa anaitwa hodan raia wa Canada

Jr[emoji769]
 
Kweli kabisa hata me nijuavyo ni kwamba Msondo ngoma walidanja sana lakini alibaki Mabela na yule Romalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…