...Hii inawezekana kweli Mkuu? Yaani MTU asimame SAA 4 asubuhi ama SAA 9 mchana was Jua Kali Vila mawingu na nyuma take kusiwe na Kivuli Cheusi????Mshana jr. Kali kuliko zote nimewahi ziona ni mtu kuibiwa kivuli chake, yani hata asimame juani hakionekani.
Ruto mfia diniHii kitu ya ajab sana. Yaani wakajipanga na kuonesha mtiririko kuwa mara baada ya mzee nitasimama mimi Arap, ukifuatia weye Kibaki halafu huy bwamdogo Uhuru. Huu ndo mtiririko. Baadaye waje wengine wasiofahamika.
Asante mshana jr
Hivi visa ulisha simulia? Ningependa kuvisomaNina visa vinavyofanana na vyako nitakuja simulia siku moja
Wakati ni Hakimu wa Haki kweli kafata mkumboMbatia Naye mda si mrefu atafuata
...Hii inawezekana kweli Mkuu? Yaani MTU asimame SAA 4 asubuhi ama SAA 9 mchana was Jua Kali Vila mawingu na nyuma take kusiwe na Kivuli Cheusi????
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa zaidi kuliko wewe lakini haimaanishi kuwa nakudharau. Kwakuwa umetumia muda akili na mb zako kupost kile unachokijua...asante kwa ushauri ila sina mpango wa kufanya hivyo, pesa sio kipaumbele kwangu.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wewe ni mchawi!!!
Asubuhi hii nimecheka sana hii picha imenikumbusha mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mara ya kwanza kusoma nyuzi zako niliamini pesa ni kipaumbele kwako. Ila nimefuatilia nyuzi zako na comment zako nyingine unaonekana kabisaa c mpenda pesa. Nkabahatika kuongea nawe pia hukuonyesha dalili ya kutaka pesa.
Wewe toa elimu tu, Mengine waachie wengine
Sent using Jamii Forums mobile app