Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mara ya kwanza kusoma nyuzi zako niliamini pesa ni kipaumbele kwako. Ila nimefuatilia nyuzi zako na comment zako nyingine unaonekana kabisaa c mpenda pesa. Nkabahatika kuongea nawe pia hukuonyesha dalili ya kutaka pesa.
Wewe toa elimu tu, Mengine waachie wengine
Naelewa zaidi kuliko wewe lakini haimaanishi kuwa nakudharau. Kwakuwa umetumia muda akili na mb zako kupost kile unachokijua...asante kwa ushauri ila sina mpango wa kufanya hivyo, pesa sio kipaumbele kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya kwanza kusoma nyuzi zako niliamini pesa ni kipaumbele kwako. Ila nimefuatilia nyuzi zako na comment zako nyingine unaonekana kabisaa c mpenda pesa. Nkabahatika kuongea nawe pia hukuonyesha dalili ya kutaka pesa.
Wewe toa elimu tu, Mengine waachie wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom