Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa rohoMkuu nakubaliana na wewe katika hyo tafsiri ya picha... Kuna picha moja ya utoto nilipiga Mimi nikiwa na miaka 5 na mdogo wangu akiwa na.miaka 2 tukiwa na baba yetu...wote tulikuwa tumesimama,,ila baba akiwa amemshika yule mdogo wangu wa kike MKONO,,,hivi ninavyokwambiya kati ya hao wote hakuna aliye hai,,nimebaki Mimi tu,,kinachoshangaza ni kwann baba alimshika MKONO mdogo wngu na kuto kunishika MKONO Mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳Unanitisha Mkuu, ngoja nianze kupitia picha zangu za zamani upya nilizo shikwa au nimemshika mtu mkono itabidi nizichaneMkuu nakubaliana na wewe katika hyo tafsiri ya picha... Kuna picha moja ya utoto nilipiga Mimi nikiwa na miaka 5 na mdogo wangu akiwa na.miaka 2 tukiwa na baba yetu...wote tulikuwa tumesimama,,ila baba akiwa amemshika yule mdogo wangu wa kike MKONO,,,hivi ninavyokwambiya kati ya hao wote hakuna aliye hai,,nimebaki Mimi tu,,kinachoshangaza ni kwann baba alimshika MKONO mdogo wngu na kuto kunishika MKONO Mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
mm hata selfie shida sanaa kujipigaSiku hizi sipigi picha za makundi
Jr[emoji769]
Kuna siku watakuja kukaa meza moja wakiwa na lengo moja na wote watakuwa chini ya Zito.Nichambue kidogo,
Zito na Makamba jr, hawakubaliani na anachokisema nape, Nape yeye anajua wanamkubalia na amehamasika kuongea zaidi,
Makamba yupo interested na Zito, (amefanya mirroring). Alafu inaonekana ni watu wanaofahamiana kiundani kwa muda mrefu.
Eti mshana hapo vipi ..?
Sent using Jamii Forums mobile app
PointNatamani sana kufanya meditation, Mshana nakuomba anzisha group la WhatsApp la mambo haya tutakaopenda utuunge utupe mwongozo wa hilo na mengine najua tupo wengi wenye interest sema muda tunakosa ila kwenye group itakuwa rahisi.
Mkuu nakubaliana na wewe katika hyo tafsiri ya picha... Kuna picha moja ya utoto nilipiga Mimi nikiwa na miaka 5 na mdogo wangu akiwa na.miaka 2 tukiwa na baba yetu...wote tulikuwa tumesimama,,ila baba akiwa amemshika yule mdogo wangu wa kike MKONO,,,hivi ninavyokwambiya kati ya hao wote hakuna aliye hai,,nimebaki Mimi tu,,kinachoshangaza ni kwann baba alimshika MKONO mdogo wngu na kuto kunishika MKONO Mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15]Unanitisha Mkuu, ngoja nianze kupitia picha zangu za zamani upya nilizo shikwa au nimemshika mtu mkono itabidi nizichane
Mh pole sana.Alianza mdogo wangu kafariki akiwa na miaka 20..baba alifariki baada ya 14 baadae...ile picha ya utoto ILIKUWA mwaka 1981..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa wa kulia kwako in Richard ndassa mbunge wa sumve mwanza alifariki juzi kati,aliingia bungeni 1995 pamoja na magufuli.
ulikua sahihiMbatia Naye mda si mrefu atafuata
Hatujui yajayo japo kwasasa imethibitika hao wawili walio upande mmoja na rangi za nguo zinazokaribia kufanana 'inasemekana' ni wasaliti.
[emoji44][emoji44][emoji144]Siku zote ukweli hujitenga na uwongo...i can see what the distance message with it's real reflection to current era...
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Nouma sana kaka mshana...mambo magumu haya yanahitaji akili itulie sana[emoji44][emoji44][emoji144]
Jr[emoji769]
Ichukulie kiroho sio kisiasaView attachment 1452279
it depends on how you feed one's brain with! What is the intepretation of the above and below pic then? mimi nasema KAMANDA MBOWE ndio mratibu mkuu wa shughuli nzima!
View attachment 1452281