Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Wakati najifunza Mapichapicha niliona kuwa picha za dijiti hupigwa nyingi tu, na chache ndio huenda kwa hadhara. Hizo picha nyingi hutofautiana pakubwa kwenye muonekano na 'rohoni' pia.

Hii ni pumba kama zingine, pumba isiyotafitiwa.
 
Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.

Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta

Huyo sio Uhuru Kenyata bali ni kaka yake anaitwa Muhoho Jomo Kenyata, he play very low profile. Ndiye anayesimamia miradi yote ya Kenyata Family. Hukwepa functions zote ziwe za kijamii au za kiserikali.
 
@Mshanajr ni mzushi tu, na mwanga mwanga fulani hivii ! .......hamna lolote katika hiyo picha !
 
Sasa ndio naelewa kwanini picha, video na audio za Sokoine ni bidhaa adimu. Kumbe vina ujumbe mzito sana wa kuweza kumtoa mtu kwenye usingizi wa pono

Hivi yule jamaa alikuwa hapigwi picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…