Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hapo nakubali kabisaaa
Mbona haifunguki? Hebu iweke tena tafadhali
 
Wakati najifunza Mapichapicha niliona kuwa picha za dijiti hupigwa nyingi tu, na chache ndio huenda kwa hadhara. Hizo picha nyingi hutofautiana pakubwa kwenye muonekano na 'rohoni' pia.

Hii ni pumba kama zingine, pumba isiyotafitiwa.
 
Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.

Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta

117881_01_n_20130322150940.jpg
Huyo sio Uhuru Kenyata bali ni kaka yake anaitwa Muhoho Jomo Kenyata, he play very low profile. Ndiye anayesimamia miradi yote ya Kenyata Family. Hukwepa functions zote ziwe za kijamii au za kiserikali.
 
Duuuuh! Sasa Mkuu naomba nikuulize,je huchukua muda gani katika kuanza kutimia kwa mambo yaonekanayo katika picha?

Je na mimi nikienda kuchukua picha zangubza zamani na kuanza kuziangalia sasa hivi nikawakuta wote niliopiga nao wameacha shule,je ina maana mm pia nimeacha shule katika ulimwengu mwingine? Hahaha! Nawaza tu kwa mbali!
@Mshanajr ni mzushi tu, na mwanga mwanga fulani hivii ! .......hamna lolote katika hiyo picha !
 
Sasa ndio naelewa kwanini picha, video na audio za Sokoine ni bidhaa adimu. Kumbe vina ujumbe mzito sana wa kuweza kumtoa mtu kwenye usingizi wa pono

Hivi yule jamaa alikuwa hapigwi picha?
 
Back
Top Bottom