Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Jamaa amevaa kofia, jamaa shati lake halina vifungo, viatu vyake vina rangi ya udongo tofauti na wenzake, ameshika funguo ya gari amefariki na ajari ya gari.... Ameaga dunia leo hii
EdSIu66WkAAppKe.jpg
 
Mkuu mshana jr hebu nisaidie. Mimi tangu zamani huwa sipendi kupiga picha. Na hupigs inaponilazimu mara nyingi picha za public huwa najifichaficha mradi tu nisitokee. Na nikitokea huwa nakuwa nyuma nyuma. Hii ni nini?
Uzi huu nimeuona leo but ninatabia Kama yako sijui kwanni ni juz tu tumepiga picha Kama 10 kazin tukiwa wengi chaajabu Mimi sionekani sura vizur tulijipanga wengine nyuma ,wengine mbele mmmmh
 
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Mkuu kuna picha nilipiga enzi za utoto , nimepiga niko na wasichana wawili , wao wamesimama mi nimekaa nimenyoosha miguu alafu mkononi nimeshika gome la shilingi ishirini...ina maana ntakuja kuwa na hela au ndo nini maana yake...
 
Hao wasichana kwasasa wako wapi?
 
Back
Top Bottom