Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
ntarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu kwenye huyo aliyevaa track suit na kofiaEbu Tafsir hiyo@Mshana Jr View attachment 1511682
Alifukuzwa kazi Na hajulikani AlipoKuna kitu kwenye huyo aliyevaa track suit na kofia
Mh...hao wengine???Alifukuzwa kazi Na hajulikani Alipo
Hatimae somo la mshana jr limeeleweka.View attachment 416627
Hapo Jamaa kamaanisha
Katika kitu huwa sipendi kupiga picha ,toka primary hadi sasa ,picha nilizopiga hazifiki 50Picha ni sehemu ya mwili wako iliyo nje yake wachawi na waganga huroga katika baadhi ya matukio kwa kutumia picha na kinacholeta uhai uhalisia na mawasiliano ya kiroho ni sura.
Save this... For future reference.. This time next year View attachment 1504479
KweliPicha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Mkuu, Picha hii na ulichokiandika pindi unaipost imeupa uhai na nguvu kubwa uzi huu.Save this... For future reference.. This time next year View attachment 1504479