Mmoja atopolea kubaya, na akirudi nyumbani baba hayupoKuna siku hii picha itakuja kuongea kitu
kwamba mwenye suti huenda akaja kuwa bosi... miongoni mwao..???Tuhifadhi na hii
kwamba mwenye suti huenda akaja kuwa bosi... miongoni mwao..???
Huyo ambaye hajavaa kijani peke yake kuna kitu special kitatokea kwake..... Muda utatuambiaTuhifadhi na hii
[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]Jamaa amevaa kofia, jamaa shati lake halina vifungo, viatu vyake vina rangi ya udongo tofauti na wenzake, ameshika funguo ya gari amefariki na ajari ya gari.... Ameaga dunia leo hiiView attachment 1511225
Jamaa amevaa kofia, jamaa shati lake halina vifungo, viatu vyake vina rangi ya udongo tofauti na wenzake, ameshika funguo ya gari amefariki na ajari ya gari.... Ameaga dunia leo hiiView attachment 1511225
Haya mambo yanafikirisha sanaJamaa amevaa kofia, jamaa shati lake halina vifungo, viatu vyake vina rangi ya udongo tofauti na wenzake, ameshika funguo ya gari amefariki na ajari ya gari.... Ameaga dunia leo hiiView attachment 1511225
Uzi huu nimeuona leo but ninatabia Kama yako sijui kwanni ni juz tu tumepiga picha Kama 10 kazin tukiwa wengi chaajabu Mimi sionekani sura vizur tulijipanga wengine nyuma ,wengine mbele mmmmhMkuu mshana jr hebu nisaidie. Mimi tangu zamani huwa sipendi kupiga picha. Na hupigs inaponilazimu mara nyingi picha za public huwa najifichaficha mradi tu nisitokee. Na nikitokea huwa nakuwa nyuma nyuma. Hii ni nini?
Namuona hapo rais ajaye wa JMT.Save this... For future reference.. This time next year View attachment 1504479
Vivuli vitatuUzi huu nimeuona leo but ninatabia Kama yako sijui kwanni ni juz tu tumepiga picha Kama 10 kazin tukiwa wengi chaajabu Mimi sionekani sura vizur tulijipanga wengine nyuma ,wengine mbele mmmmh
Mkuu kuna picha nilipiga enzi za utoto , nimepiga niko na wasichana wawili , wao wamesimama mi nimekaa nimenyoosha miguu alafu mkononi nimeshika gome la shilingi ishirini...ina maana ntakuja kuwa na hela au ndo nini maana yake...Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Hao wasichana kwasasa wako wapi?Mkuu kuna picha nilipiga enzi za utoto , nimepiga niko na wasichana wawili , wao wamesimama mi nimekaa nimenyoosha miguu alafu mkononi nimeshika gome la shilingi ishirini...ina maana ntakuja kuwa na hela au ndo nini maana yake...
Watakuwa wameshaolewa hiyo picha ni miaka ya 2000s...wao wakiwa pembeni mimi katikati.......Hao wasichana kwasasa wako wapi?
Yaani nasoma comments huku naogopa hata sijui ni nn kinaendlea kwenye akili yangu hofu imeingia ghafla Mungu aniepushieSometimes mada zako Mkuu ukizisoma unaweza kuanza kujiogopa wenyewe
Yaani nasoma comments huku naogopa hata sijui ni nn kinaendlea kwenye akili yangu hofu imeingia ghafla Mungu aniepushie
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app