Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya ptr katika ulimwengu wa Roho inazidi kufanya kazi. Unaambiwa hawa ni Familia moja na wamekufa siku moja kwa ajari ya gari wakiwa wanakuja Dar
 
Hata huyu naye anasound peke yake .....muda utazungumza[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2708195
Hao wengine ni wazee wa miaka mingi yeye ni kijana mdogo inawezekana wengine wote watatoka madarakani atabaki yeye tu.

Lakini pia yeye ni Mjeda na wengine ni wanasiasa yawezekana kwenye hiyo picha yupo pekee yake kimtazamo wengine wanamambo yao
 
KUMBUKUMBU!

Pichani ni Dr. Hassy Kitine, PhD aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS (1978 - 1980) & Hayati Dr. Agustine Mahiga, PhD, Mkurugenzi TISS ( 1980 - 1983) wakiwa na fomu za kugombea Ubunge & Urais ndani ya CCM.

Hayati Jaji Augustino Ramadhani, CJ (2007 - 2010) akiwa na fomu ya kugombea Urais 2015 & Hayati mzee Jecha Salim Jecha aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume 'HURU' ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akiwa na fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar 2020.
 
Amebaki Hassy tu wengine wote wamefariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…