Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hifadhi hii kwa matumizi na kumbukumbu ya siku zijazo

Umenifanya niogope picha za makundi

kuna kijana mmoja alifariki tulipiga picha yeye akiwa katikati tulikuwa watatu na kuna nyingine tumepiga nae selfie tupo kikundi huwa nazitama sana, na kuna mmoja ilitokea tu tukawa tumevaa nguo zimefanana yeye alivaa kaptula ya kijani na tisheti ya kijvu, mimi nilivaa blouse ya kijani na sketi ya kijivu, aisee huwa naziangalia wee naangalia na huyo kijana aliefariki najiuliza sipati majibu, nikirefer na mada yako naanza kusema siku majembe yakianza kudondoka moja mojaa na ameanza yule kijana.
 
ya Dunia ni Mengi sana!
IMG_20190324_164955.png
 
umenifanya niogope picha za makundi
kuna kijana mmoja alifariki tulipiga picha yeye akiwa katikati tulikuwa watatu na kuna nyingine tumepiga nae selfie tupo kikundi huwa nazitama sana, na kuna mmoja ilitokea tu tukawa tumevaa nguo zimefanana yeye alivaa kaptula ya kijani na tisheti ya kijvu, mimi nilivaa blouse ya kijani na sketi ya kijivu, aisee huwa naziangalia wee naangalia na huyo kijana aliefariki najiuliza sipati majibu, nikirefer na mada yako naanza kusema siku majembe yakianza kudondoka moja mojaa na ameanza yule kijana
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]usiogope itakuwa salama kwako wala usijali uwe na amani kabisa

Jr[emoji769]
 
Mshanajr je picha tunazopiga na wapenzi
sio wapenzi tu.... Hata zile za wanafamilia! Mi nna picha tumepiga mm, mama na brother! Kwa mpangilio ule wa picha... Mm wa MWISHO na bro alikuwa ktkt! Kazi ya Mungu haina makosa... RIP Mummy! RIP Bro!
 
Back
Top Bottom