Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewaje boss hebu nisaidie na mimi strongheadDuh! nimetumia mda sana kuielewa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mshana ongeaView attachment 1282883
Hao ndiyo kina nani?
Mkuu walikufa kwa sjali au vifo vya kawaida?
Walikuwa wabavaa suruali zao kwa kugeuza, mashono au ni mtindo?Usisahau mrejesho tafadhali mi nakuonyesha moja.
View attachment 390635
Hawa ni jamaa zangu hapo ni South Africa mwaka 1996 hiyo picha nilipiga mimi huyo wa katikati ni marehemu kwa sasa na hao wengine wako Ulaya.
View attachment 1283150
Wawili hawapo kabaki mmoja
Hebu jiulize vizuri kilichowaunganisha ni hiyo picha au ile hali ya kusoma pamoja tayari kulikuwa na kitu kinawaleta pamoja?nakumbuka mwaka fulani nikiwa chuo alikuja vice principal akatupiga picha mm na dada mmoja tukiwa tunasoma, akaiweka kwenye page yake fb hadi leo ipo.... wonderful enough leo hii tunaishi pamoja as husband & wife.
Kitambaa cheupe alichoshika KK kinatanabaisha.View attachment 1283150
Wawili hawapo kabaki mmoja