Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

IMG_4285.jpg
 
Tuihifadhi hii reply
Ben alitangaza kifo cha Mchonga, Magu akatangaza kifo cha Ben....Samia ametangaza kifo cha Magu... Mwinyi na Kikwete hawakuwahi kutangaza vifo...
Kwa tafsiri hii ni kwamba Samia atawahi kufa kuwatangulia Mwinyi na Kikwete si ndio??

Ngoja tuhifadhi basi..
 
Mmh [emoji1545][emoji1545][emoji1545]picha zinaongea mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaongea kitu gani sasa? Kwanini hao walionyanyua mikono miwili juu wasingekufa wao? Au kwanini hao ambao mkono mmoja uko chini mwingine juu (JK na Ben) wasingekufa hao??

Hakuna ukweli wowote kwenye unavyovisema, ila hizo vitu vinatafsiriwa tu baada ya matukio kutokea. Ndio maana mnaishia kutafsiri tu mara wa kati ndio wamekufa, mara wa kulia na kushoto, mara wamekufa kwa kufatana mtililiko kwa jinsi walivyojipanga mstari n.k
 
Mkuu huu uzi umeusoma Na umeuelewa?
 
Back
Top Bottom