Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du hiyo siries inanitisha na Yule mtabiri aliyetabiri mgogoro huko visiwani.Si lazima iwe kifo lakini... Japo....
Yatatimia..nyakati haziongopi..maono hayadanganyiDu hiyo siries inanitisha na Yule mtabiri aliyetabiri mgogoro huko visiwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha inaonesha km mzee Mwinyi bado anauhai mrefu, au we unaonaje.
kinyume chakeeHii picha inaonesha km mzee Mwinyi bado anauhai mrefu, au we unaonaje.
Ni vizuri utuambie wewe nani atafata na kwasababu zipi??Who is next!?[emoji848][emoji2827]... Wakati utasema.. Hifadhi vizuri hii picha... Sooner or later tutarudi hapa kukumbushana
Kwa tafsiri hii ni kwamba Samia atawahi kufa kuwatangulia Mwinyi na Kikwete si ndio??Tuihifadhi hii reply
Ben alitangaza kifo cha Mchonga, Magu akatangaza kifo cha Ben....Samia ametangaza kifo cha Magu... Mwinyi na Kikwete hawakuwahi kutangaza vifo...
Mbona mnakuwa wajinga hivi? Kwani ulifikiri wataishi milele??
Sasa mwambie Mshana atutafutie picha ambayo Maalim, Kijazi na Magu wapo pamoja 😂Kijazi na Maalim walikufa siku moja
Hiyo picha ya juu angekufa Magu na Mwinyi mngesema walionyanyua mikono miwili yote juu ndio wamekufa...
Zinaongea kitu gani sasa? Kwanini hao walionyanyua mikono miwili juu wasingekufa wao? Au kwanini hao ambao mkono mmoja uko chini mwingine juu (JK na Ben) wasingekufa hao??
Zinaongea kitu gani sasa? Kwanini hao walionyanyua mikono miwili juu wasingekufa wao? Au kwanini hao ambao mkono mmoja uko chini mwingine juu (JK na Ben) wasingekufa hao??
Hakuna ukweli wowote kwenye unavyovisema, ila hizo vitu vinatafsiriwa tu baada ya matukio kutokea. Ndio maana mnaishia kutafsiri tu mara wa kati ndio wamekufa, mara wa kulia na kushoto, mara wamekufa kwa kufatana mtililiko kwa jinsi walivyojipanga mstari n.k