LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.

Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu achapwe kipigo kitakatifu

Kidumu chama pendwa!
 
Wana Chadema nao hawa hapa, hapa napo unaleta Porojo gani?

Screenshot_2024-10-25-12-04-25-2.png
 
Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.

Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu achapwe kipigo kitakatifu

Kidumu chama pendwa!
Manyang'au!
 
Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na miungu Wengine ila Mimi.

Usijifanyie Sanamu ya Kuchonga Ukaiabudu

Pigia mstari " Sanamu ya Kuchonga"

Ogopa Mchongo 🐼
 
Kama sanamu haijachongwa it's okay?
 
Hii picha inatia huruma mno. Laana ya kuiua CHADEMA itamtafuna Mbowe na genge lake lililonufaika na mauzo ya chama kwa Lowassa.
Alaaniwe shetani Magufuli huko jehanam na kuni zisizime milele! Afe mara kadhaa kwa moto wa mkaa wa mawe!
 
Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.

Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu achapwe kipigo kitakatifu

Kidumu chama pendwa!
Kwa katiba hii hakuna huo ushindani unaotaka tuamini upo. Sana sana kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.

Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu achapwe kipigo kitakatifu

Kidumu chama pendwa!
Hamasa ya waTanzania kufuatilia uchaguzi wa kura za maoni za CCM huwa ni kubwa mno ukilinganisha na vyama vingine vya kusindikiza kama vile wasusaji chadema..

Uchaguzi wenyewe huwa ni kukamilisha ratiba, sheria na katiba ya nchi tu, kwasababu tayari wananchi wote wanakua wameshajua na wameshaamua kupitia CCM nani ni kiingozi wao ajae 🐒
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom