LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa katiba hii hakuna huo ushindani unaotaka tuamini upo. Sana sana kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Nchi zilizobadili serikali kwa katiba ya zamani nyingi tu
 
Ni nadra bila machafuko. Ni ujinga kuamini hapa kutatokea mabadiliko bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
Kwa Tanzania ukitaka kuleta machafuko, chafua mwili wako tu maliwatoni
 
Back
Top Bottom