Manyang'au!Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.
Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu achapwe kipigo kitakatifu
Kidumu chama pendwa!
Hii picha inatia huruma mno. Laana ya kuiua CHADEMA itamtafuna Mbowe na genge lake lililonufaika na mauzo ya chama kwa Lowassa.
Hii picha ni ya Uchaguzi wa Kanda siku Bilionea Sugu anachaguliwa! Ahahahahaha!!!
Ukipigwa Picha ile ni SanamuKama sanamu haijachongwa it's okay?
CCM ni Mafisi!Chadema ni masulupwete
2015 hakukuwa na uchaguzi wa serikali za MitaaHii picha ya u chaguzi wa mwaka 2015
Umeandika vizuri sana, Ila uko nje ya madaHii picha inatia huruma mno. Laana ya kuiua CHADEMA itamtafuna Mbowe na genge lake lililonufaika na mauzo ya chama kwa Lowassa.
Alaaniwe shetani Magufuli huko jehanam na kuni zisizime milele! Afe mara kadhaa kwa moto wa mkaa wa mawe!Hii picha inatia huruma mno. Laana ya kuiua CHADEMA itamtafuna Mbowe na genge lake lililonufaika na mauzo ya chama kwa Lowassa.
Kwa katiba hii hakuna huo ushindani unaotaka tuamini upo. Sana sana kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.
Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu achapwe kipigo kitakatifu
Kidumu chama pendwa!
Hamasa ya waTanzania kufuatilia uchaguzi wa kura za maoni za CCM huwa ni kubwa mno ukilinganisha na vyama vingine vya kusindikiza kama vile wasusaji chadema..Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.
Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu achapwe kipigo kitakatifu
Kidumu chama pendwa!
KabisaHamasa ya waTanzania kufuatilia uchaguzi wa kura za maoni za CCM huwa ni kubwa mno ukilinganisha na vyama vingine vya kusindikiza kama vile wasusaji chadema..
Uchaguzi wenyewe huwa ni kukamilisha ratiba, sheria na katiba ya nchi tu, kwasababu tayari wananchi wote wanakua wameshajua na wameshaamua kupitia CCM nani ni kiingozi wao ajae 🐒