chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Oct 25, 2024 Thread starter #21 Tindo said: Kwa katiba hii hakuna huo ushindani unaotaka tuamini upo. Sana sana kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Click to expand... Nchi zilizobadili serikali kwa katiba ya zamani nyingi tu
Tindo said: Kwa katiba hii hakuna huo ushindani unaotaka tuamini upo. Sana sana kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Click to expand... Nchi zilizobadili serikali kwa katiba ya zamani nyingi tu
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Oct 25, 2024 #22 chiembe said: Nchi zilizobadili serikali kwa katiba ya zamani nyingi tu Click to expand... Ni nadra bila machafuko. Ni ujinga kuamini hapa kutatokea mabadiliko bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
chiembe said: Nchi zilizobadili serikali kwa katiba ya zamani nyingi tu Click to expand... Ni nadra bila machafuko. Ni ujinga kuamini hapa kutatokea mabadiliko bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Oct 25, 2024 Thread starter #23 Tindo said: Ni nadra bila machafuko. Ni ujinga kuamini hapa kutatokea mabadiliko bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Click to expand... Kwa Tanzania ukitaka kuleta machafuko, chafua mwili wako tu maliwatoni
Tindo said: Ni nadra bila machafuko. Ni ujinga kuamini hapa kutatokea mabadiliko bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Click to expand... Kwa Tanzania ukitaka kuleta machafuko, chafua mwili wako tu maliwatoni
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 25, 2024 #24 Wananchi wanafuata rushwa wala hawana time na kura