DuhTafuta hela upunguze hasira bro
Lazima uwe na kitu kinachokupa motivation ili uendelee kupambana. Basi shindana hata na MO. Acha kuridhika. Kuna inflationSishindani na Elon Musk
Kuna mafanikio yasiyotokana na hela..?, acha kukimbia kivuli chakoLazima iwe pesa ndio inayonipa motivation zaidi kupambana ?
Taja vitu vitatu visivyohitaji pesa unavyotumia au unavyovihitaji kwenye maisha yakoKwani motivation ya kila mtu hapa duniani ni pesa ??
Ndio. Kama una afya na uzima basi pesa ndio kitu cha kutafuta. Ndio matakwa ya dunia. Usipokuwa nayo huwezi kuwa na amani wala utulivu. Hata haki yako ya msingi utadhulumiwa.Lazima iwe pesa ndio inayonipa motivation zaidi kupambana ?
Kila kitu ni pesa pesa pesa, hata huko kanisani wanataka pesa zako kwa jina la sadakaNdio. Kama una afya na uzima basi pesa ndio kitu cha kutafuta. Ndio matakwa ya dunia. Usipokuwa nayo huwezi kuwa na amani wala utulivu. Hata haki yako ya msingi utadhulumiwa.
Wapo sana 😹Kuna mtu ambaye hatafuti pesa kama hana matatizo ya kumzuia kufanya hivyo?
Kabisa mkuu. Wanakuhubiria uzima wa milele na kwenda mbinguni huku wanataka pesa waishi ki-boss duniani. Angalia Mwamposa and the likes wanapiga pesa ile mbaya, yaani screen ya mahubiri imejaa lipa namba za sadaka. Mazuzu amkeniKila kitu ni pesa pesa pesa, hata huko kanisani wanataka pesa zako kwa jina la sadaka
Wewe hutaki pesa za wazazi kwa jina la tution?Kila kitu ni pesa pesa pesa, hata huko kanisani wanataka pesa zako kwa jina la sadaka
Mi nazitaka sanaa, na ninazisaka kwa wivu mkubwaWewe hutaki pesa za wazazi kwa jina la tution?
Tafuta pesa mkuu. Tena dollars sio hizi za madafu.Hawa wapuuzi wanatuambia tutafute pesa utafikiri tuliwaambia tulizipoteza!@##$%%