Tafuta pesa / tutafute pesa ndio kauli hovyo zaidi mwaka huu.

Tafuta pesa / tutafute pesa ndio kauli hovyo zaidi mwaka huu.

Sasa kwenye mambo mengine hata ya pesa ni hivho hivyo tu. Of course pesa ina kazi nyingi muhimu sana na kusema sana kuwa pesa watu wanazishobokea sana kwa kuwa hawana tu it is kind of elitist, mtu ambaye hana ada, hana pesa ya chakula, hanankidi ya nyumba, hana pesa ya matibabu, kumuambia hivyo, kwamba oesa si muhimu sana, ni kukosa empathy na kukosa adabu.
Ujumbe mzito Sana huu
 
Pesa huwa haitafutwi.
Ukiona mtu anatafuta pesa ni hatari sana.
Pesa inatakiwa ikutafute, Ikufuaye.

Mfano.
1. Kutafuta pesa ni kwenda Kuchimba Dhahabu Chunya.
Unachimba na chepe shimoni.

2. Pesa kukutafuta Ni kuwa Engineer wa Madini kuitwa Ufanye kazi GGM.
Unachimba ukiwa kwenye Kiyoyozi

Akili kumkichwa.
 
Pesa huwa haitafutwi.
Ukiona mtu anatafuta pesa ni hatari sana.
Pesa inatakiwa ikutafute, Ikufuaye.

Mfano.
1. Kutafuta pesa ni kwenda Kuchimba Dhahabu Chunya.
Unachimba na chepe shimoni.

2. Pesa kukutafuta Ni kuwa Engineer wa Madini kuitwa Ufanye kazi GGM.
Unachimba ukiwa kwenye Kiyoyozi

Akili kumkichwa.

Umeanza na mkwala mkuubwa.

Nikasema ngoja nisome watu wenye fikra pana za kitajiri sasa.

Nilifikiri utasema hapo namba 2 ni mmiliki wa kampuni ya kuchimba madini, au mmiliki wa hisa na biashara ya kuuza dhahabu.

Au mmilikinwa somo la muuza dhahabu. Hapo ipande ishuke wewe unapata chako cha juu tu.

Kumbe unaishia kwenye kuona pesa inakutafuta kwa sababu umeajiriwa na siku yoyote muajiri akiamua kukufukuza anakufukuza?

Bado sana yani hata kifikra tu ukiambiwa uitengeneze dunia yako bora unafeli.
 
Kwahiyo hutaki kutafuta hela, alafu mbona si mwaka huu tu.
 
Wanaokwambia tafuta pesa wengi hawana hizo pesa za kutatua hilo tatizo lako ambalo wao wanadhani linatatuliw na pesa.
 
Huwez kutafuta kitu ambacho hujapoteza vijana wanakua machoko kwajil yakauli hizi....pesa haitafitwi mana haijapotea bali inategwa mana inanjia zake
 
Kuhimizwa kutafuta pesa si kosa, watu wanakosa matibabu kwa kuwa hawana pesa.
Baadhi wanashindwa kupeleka watoto shule kwa kuwa hawana pesa.
Kama huna pesa hata ndani ya jumba la ibada huthaminiwi.
Tutafute pesa na tuhimizane kusaka pesa ili kujihami na yale yanayohitaji pesa.
 
Back
Top Bottom