Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Ukianza kuwa na hela hii kauli inakuwa kama motivation, ukikaa kizembe inageuka insultUngekua na Pesa wala usingefungua huu uzi,
Hiyo kauli inakukera coz wewe ni choka mbaya,huna mbele wala nyuma kama Yai vile,
Unakereka na hiyo kauli ila hukereki kufungua nyuzi humu za kutetea machoko?
Wengine wanashinda makanisani wakipiga makelele kwa lugha za ajabu ajabu na kusubiri miujiza iwashukie.Wapo sana 😹
Huko Tanga na Zanzbar
Wanakaa vibarazani wanacheza bao..
Uko sahihi, mtu mwenye mawazo kamaPesa ni kitu muhimu sana kama huna.
Kama unazo, hapo ndipo utaona mwisho wa umuhimu wa pesa.
Unaweza kuwa na pesa, ukawa hujui style, ukanunua mavitu ya bei mbaya ya kishamba hujui hata kuyapangilia, watu wakakucheka umeonekana kichekesho na pesa unazo.
Pesa si tatizo. Tatizo linaloweza kutatuliwa na pesa ni gharama tu.
Ukipata pesa unalimaliza.
Tatizo halisi halimaliziki hata kwa pesa.
Bob Marley alivyokuwa anaumwa siku za mwisho, alikuwa na pesa ya kupata matibabu popote duniani, lakini tatizo lake lilikuwa kubwa kuliko pesa.
Alivyokaribia kufariki, alisema pesa haiwezi kununua uhai.
Now, that is a real problem.
Ubaya wa Kauli hizi zinatajwa sio kama kutia hamasa Bali kama kebehi na kutiana kashfaKauli ya watu kuhamasishana kutafuta uhuru wa kiuchumi/fedha, haiwezi kuwa kauli ya hovyo kw mtazamo wangu.
Watu wengi ni masikini wa kipato Tanzania, wavuja jasho,;wapo kwenye poverty line, hawana shughuli wala kipato.
Zipo kauli kibao mwaka huu ni za hovyo, lakini sio kauli hii.
Be specificTafuta hela upunguze hasira bro
Ubaya wa Kauli hizi zinatajwa sio kama kutia hamasa Bali kama kebehi na kutiana kashfa
Pesa ni energy(nishati) haitafutwi inavutwa.Kwanini
Hakuna specific kiasi, ila tafuta ambazo walau utafikia mahali upo comfortable na vitu vingi.Be specific
Ni shingapi inayo kusudiwa kwenye hiyo kauli?
Kuna sehemu mliipoteza?Tutafute pesa mkuu
Vitu vingi kama huna vinaweza kukuzuzua, halafu ukibipata na kubizoea, unaviona vya kawaida.Uko sahihi, mtu mwenye mawazo kama
Yako ni Yule Tu ameshakombolews kwenye dimbwi la mawazo ya kimaskini
Mtu maskini hudhani kwamba akiwa na hela shida zote zinatisha😂😂
Ongezea "tafuta pesa kwa njia yoyote ile" hata kulala na nyoka.Hii Ni kauli ya hovyo, ya kijinga, ya kipumbavu na kifedhuli zaidi katika mwaka huu iliyojipatia umaarufu mkubwa zaidi nchini.
Sometimes inaweza kuwa sio swala la bei.Hakuna specific kiasi, ila tafuta ambazo walau utafikia mahali upo comfortable na vitu vingi.
Imagine mtu anafunga uzi kisa kauziwa wali tsh 5000 sasa huyu tuache kamwambia atafute hela kweli?
Mkuu kutuhamasisha mnaweza kutuambia tufanye kazi kwa bidii tujikwamue kwenye umaskini. Sio kauli kama TAFUTA PESA utafikiri tulizipoteza huko angani.Kauli ya watu kuhamasishana kutafuta uhuru wa kiuchumi/fedha, haiwezi kuwa kauli ya hovyo kw mtazamo wangu.
Watu wengi ni masikini wa kipato Tanzania, wavuja jasho,;wapo kwenye poverty line, hawana shughuli wala kipato.
Zipo kauli kibao mwaka huu ni za hovyo, lakini sio kauli hii.
Hao wanangoja sadaka za wauminiWengine wanashinda makanisani wakipiga makelele kwa lugha za ajabu ajabu na kusubiri miujiza iwashukie.
Natumaini ushapata muongozo!Wapo sana 😹
Huko Tanga na Zanzbar
Wanakaa vibarazani wanacheza bao..