Wadada hamuaminiki nyie..hapo ukute piemu huko kuna mtu anachat nae unasema yule Joanah sikapendi kale kadada basi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huyo hana shida tunajuana.....Hebu acha uchochezi basi
Ama kama kawaida comment kwa hisani ya k vant?manake "ukipendezaga" unakuwaga negative kinyama
Thanks for that..
Basi nitakufundishaaππ Aahh wapi...katika vitu vimenishinda maishani mwangu ni unafiki.
Ahsante sana JojoMkuu,wawili ni wachache mno
Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha
Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi ZoΓ« mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
ππ»ππ» shukrani sana.
Nipe kwanza kaka yako mmoja ndo nitakutagMwenza si unitag tu unazuga nini?
[emoji3526][emoji1696][emoji171]Mkuu,wawili ni wachache mno
Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha
Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi ZoΓ« mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee
Mekumiss thou
Naona umenimaliza kabisa... Hiyo kununa sijawahi jamani emu usinisingizie πππ
Koh koh kohHakika kupewa tag na role model sio mchezo mzee.. im humbled fam
Hongera Saint Anne kwa kukubalika na huyu kibopa πππ and nakukubali pia the REALEST
Hakika kupewa tag na role model sio mchezo mzee.. im humbled fam
Hongera Saint Anne kwa kukubalika na huyu kibopa [emoji4][emoji4][emoji4] and nakukubali pia the REALEST
Asante sana
Nimefurahi pia amenisaidia kuwasilisha mawazo yangu kwa kukutag[emoji171]
Super Villain we love you [emoji3590]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeisha.Super Villain usije haribu kazi za watu [emoji23][emoji23]
π πHakuna Wakwetu..π
It's really nice to be referred as "Wami"Ngiyabonga Vinchii wamiπ₯°π₯°