Mkuu usemalo nimelifikiria sana.Kutokuandika mara kwa mara nacho kipaji,
Mimi niliamua kufungua verified Id ili angalau nijifunze kufunga mdomo lakini wapi, kila siku nayaporomosha tu.
Miaka ya mbele watu wakianza kufukua makaburi yangu, Mungu pekee ndo anajua ππππ
Sasa mdogo wangu umenitajia favorites people wangu wote huoni kama utanimalizia.???Mkuu,wawili ni wachache mno
Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha
Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi ZoΓ« mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
Toa list yako mzee wangu acha habari nyeusi nitakupasua kichwa kama jana ujue alafu mm usiniweke kwenye top list yako ujue π maana najua mm nipo namba 5 na hapa wanataka wa 2 tu ukinitag najua unazingua maana nawajua nitawatag kwa niaba yako ujue πHakika kupewa tag na role model sio mchezo mzee.. im humbled fam
Hongera Saint Anne kwa kukubalika na huyu kibopa πππ and nakukubali pia the REALEST
π πBabe you're among my secret admirers β€ dada mimi kichwa moto?!/πππ
Carleen Paula Paul nawa-admire tu mimi jamani β€β€πΉ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Depal ake jamani, najua unaelewa jinsi ninavyokukubali wewe kivuruge wangu.Wawili tu?! Wengine tunao mia kidogo ila kwa kuanzia nakazia hao hao uliowatag wewe.
Shunie haka kababe nakapenda kabisa kwanza kako charming, pili ni mfuasi wa mastory anayopost huko entertainment.
Smart911 huyu mpendwa hanaga makuu, humkuti kwenye malumbano hasi hata kwa bahati mbaya. pia siku hizi kawa mtundu sana kwenye comments zake....ila mambo yake ngoja nimuachie mwenyewe.
Nyongeza:
#Maboss zangu na nusu [emoji177] Mjep yna2
# pia kuna bibi Zuu ZoΓ«
.......na hapo bado kuna wale secret admirers ' nyie ndio mnaitaga ma-crush eeh! Hapa wako kama mia 3 ishirini.
Kwa kweli tulionao wengi tukae tu kimyaKwangu Ni wengi mno..nikiandika hao wawili nitajisuta nafsi.
Wataje tu wengine utawaongezeaSasa mdogo wangu umenitajia favorites people wangu wote huoni kama utanimalizia.???
you're one of the 'toppest' (halipo kwenye kimalkia) girls I do admire humu ndani pia.!!
Uhuh nakuelewa dada Monitress ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Depal ake jamani, najua unaelewa jinsi ninavyokukubali wewe kivuruge wangu.
Ila hili jina lako jipya ulilonitunuku sijui nimekukosea nini, ni kupenda app tu ama kuna kingine. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaNikujuavyo baharia huwezi kutag hata wakuwekee kisu shingoni
Duhhhh....!!
Dah loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeisha.
Kuwa verified jf ni mzigo maana unatakiwa kuwa makini sana na kila unachokiandika maana hujui ni andiko lako lipi litatumika kama silaha dhidi yako. Pia kuna mada inabidi uachane nazo kabisa.Mkuu usemalo nimelifikiria sana.
Natamani kuweka jina halisi na kuwa verified user lakini naona gharama yake baadae ni kubwa mno.
VUTA-NKUVUTE ID yako imenikumbusha Jasmine na Shaibu
Nakukubali sana pia mahondaw, wewe na Smart911 ndiyo my favorite JF couple.Mkuu unaogopa kumtag. .This is chitchat bana jiachie ..
@Zoe bony
Nawakubali kinomanoma
Sent using Jamii Forums mobile app