Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Dada unataka tena na mengineKwahiyo Coca uliahidiwa ajira? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee
Humu wa kumuamini labda Mjep tu ndio huwa hana mbambamba..na sijawahi kuona akiahidi watu ajira
Hata akikupa vocha hakusimangi
nilishangaa Boss ledi kusimangwa Kwa sababu ya hela ambayo mtu binafsi aliamua kutoa[emoji1787]
Akiyanani
Kuna watu siyo wa kupokea hata mia zao
Ni yeye πππYesu wanguπππ
Ile ya Mimi na mama Pasta kwamba tumetoka naye?
Basi tukawa tunajiuliza nani huyo katuzushia sisi? Na tumemkosea Nini? Ili apate Nini?
Mama pasta akasema ukute ni yeye mwenyewe π
Ntakua makamu wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Irudiwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa kamanda sana, 2025 tumsimamishe agombee uraisi jukwaa la MMU
Pm wake nipo hapa πππNtakua makamu wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapo poaMarahaba nkamu
Mimi mwenyewe napita kwa nadra tunapishana majukumu yanabana wakati mwingine
Bila shaka uko poa na ka junia kanaendeleaje?
Unisamebeeo, sirudii tena hiki kitu siku nyingineKhaaaaaa!! Unayaweza wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Joined 2023????? [emoji23]Akuuu me sijui chochote ndo kwanza Iβd yangu joined 2023 [emoji23][emoji23][emoji23]
Unauliza maswali ambayo majibu unayoCute wife ndio huyu huyu Lamomy? Aaaah hapo sasa naelewa.
Mfyuuuu πππUnisamebeeo, sirudii tena hiki kitu siku nyingine
Hivyo wenye maswali waulize yote leo
I'm sorry[emoji119][emoji119]
Ni yeye mwenyewe, tena mie ningetaka kusema ningesema mapema, ila nilkua namuheshimu mama malezi,Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya Mimi na mama Pasta kwamba tumetoka naye?
Basi tukawa tunajiuliza nani huyo katuzushia sisi? Na tumemkosea Nini? Ili apate Nini?
Mama pasta akasema ukute ni yeye mwenyewe [emoji38]
Una kiranga wewe? Me cute wife? πππUnauliza maswali ambayo majibu unayo
Mfyuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pm wake nipo hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Cute wife anazingua sana[emoji23]Mkeo naye mmbea cute [emoji23][emoji23][emoji23]
Oyooooooo!! Leo ndo leoNi yeye mwenyewe, tena mie ningetaka kusema ningesema mapema, ila nilkua namuheshimu mama malezi,
Nilipata ubuyuu kwa member mwingine kabisa kuwa mama malezi kadate na yule babuu, had secrenshots alinipa.
Nkawa najisemea iko siku litalipuka hili ndo tutajua rangi halisi za watu. Kuhusu wee hapana, ila mama malezi ndo nilikua najua.
πππ Prime minister niko hapaMfyuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie bi mkubwa apunguze hekaheka πππCute wife anazingua sana[emoji23]
Anfied napita mara mojamoja kupata taarifa kutoka kwa wataalamu akina captainKapo poa
Kanakusalimiaπ
Kweli tunapishana.
Mie nimehamia kijiwe chetu anfield.. stoei za uswahilini siziweziπ€£
DahNi yeye πππ
Nani humu wa kuzusha habari ambazo hazijui
Wala hata sio ww, mnafanana tu[emoji23]Una kiranga wewe? Me cute wife? [emoji23][emoji23][emoji23]