Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo Coca uliahidiwa ajira? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee

Humu wa kumuamini labda Mjep tu ndio huwa hana mbambamba..na sijawahi kuona akiahidi watu ajira
Hata akikupa vocha hakusimangi

nilishangaa Boss ledi kusimangwa Kwa sababu ya hela ambayo mtu binafsi aliamua kutoa[emoji1787]

Akiyanani
Kuna watu siyo wa kupokea hata mia zao
Dada unataka tena na mengine

Watu waangalie waache kama walivyo. Nimemaliza no offense
 
Yesu wangu😂😂😂
Ile ya Mimi na mama Pasta kwamba tumetoka naye?

Basi tukawa tunajiuliza nani huyo katuzushia sisi? Na tumemkosea Nini? Ili apate Nini?
Mama pasta akasema ukute ni yeye mwenyewe 😆
Ni yeye 😂😂😂
Nani humu wa kuzusha habari ambazo hazijui
 
Marahaba nkamu
Mimi mwenyewe napita kwa nadra tunapishana majukumu yanabana wakati mwingine
Bila shaka uko poa na ka junia kanaendeleaje?
Kapo poa
Kanakusalimia😂

Kweli tunapishana.
Mie nimehamia kijiwe chetu anfield.. stoei za uswahilini siziwezi🤣
 
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya Mimi na mama Pasta kwamba tumetoka naye?

Basi tukawa tunajiuliza nani huyo katuzushia sisi? Na tumemkosea Nini? Ili apate Nini?
Mama pasta akasema ukute ni yeye mwenyewe [emoji38]
Ni yeye mwenyewe, tena mie ningetaka kusema ningesema mapema, ila nilkua namuheshimu mama malezi,

Nilipata ubuyuu kwa member mwingine kabisa kuwa mama malezi kadate na yule babuu, had secrenshots alinipa.

Nkawa najisemea iko siku litalipuka hili ndo tutajua rangi halisi za watu. Kuhusu wee hapana, ila mama malezi ndo nilikua najua.
 
Oyooooooo!! Leo ndo leo
Mambo yapo kweupeeee 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom