Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.

[emoji23][emoji23][emoji23]umeujua mchezo wa huku vizuri.
Jf ukiwa na roho nyepesi au unajua kuna kapoint wakikupatia watakuumiza sana inabidi ukae kimya hata usilike mtu akichambwa.
 
Babu jf usiichukulie siriaz kihivo kumbe limekutesa kiakili masikini poleee!

Binafsi nilikua nakutania tu babuu
kwani ukiwala unadaiwa nanani nyie wote ni watu wazima watu wasiwapangie maisha humu rellaaxx babuu!

Cheers πŸ₯‚
 
Hapa umekua mnafki, hizi mambo ndio wengine mnafanya tunafunguka tunaonekana wabaya

Msiwe mnaplay victim card, hizi kuwa innocent huwa mnakosea sana wakati uhalisia haupo hivyo
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣! Kantri the Kibu D Mkandaji 🀣🀣🀣!
Lamomy kumekuchaaa hukuuu🀠🀠😁
 
Selfika kule palikua poa sana tulikua tunaselfika hata kama ni kunafkiana ilikua kunafkiana kwa stara palivovamiwa sasa🀠🀠!!!
Selfika nilikuwa sipafatilii ila kuna siku nilikuwa namtafuta coca ndo nikaibukia huko
Nilivyofika wee nikaona watu oyaa oyaa full mavibe, mara coca anitambulishe shemeji yangu!
Sijakaa sawa naambiwa chagua mume khaaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Namna gani tena? Mara vocha za gombania zinamwagwa watu wanakanyagana kuwahi
Mara naona watu wanatupia foto, nikaona mambo si ndo haya sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nikaweka kambi niwasome, nilivyoona humu wanachekeana kwenye maandishi moyoni kila mtu kamshikia mwenzie panga nikaona jau
Kuchunguza vizuri kumbe humo ndani wako wake wenza tupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu wanaogopana kupeana makavu
Ghafla akaibuka babu na mabakuli na figo 2
Nao wana crew yao aiseee!!!

Sema tutengeneza series watu wangu tungeuza kinoma, emu tufanyeni jambo ujue kuna visa vingi sana mule tutapiga pesa ndefu wanaselfika
Mkinga na pesa sasa 😜
 
Babu jf usiichukulie siriaz kihivo kumbe limekutesa kiakili masikini poleee!

Binafsi nilikua nakutania tu babuu
kwani ukiwala unadaiwa nanani nyie wote ni watu wazima watu wasiwapangie maisha humu rellaaxx babuu!

Cheers πŸ₯‚
Asante Mjukuu, najua ni utani tu ila kuna Wajukuu wanaweza kuamini kweli..

Hata hivyo tunajua nyumba bila Wazee haijakamilika.

Mjitahidi kutulea Wazee wenu jamani πŸ₯‚
 
Ukanikaribisha na mm, nikajua tu hii shughuli ya kuselfika inaenda mwishoni[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umeujua mchezo wa huku vizuri.
Jf ukiwa na roho nyepesi au unajua kuna kapoint wakikupatia watakuumiza sana inabidi ukae kimya hata usilike mtu akichambwa.
Hannah nipo jf yapata miaka 10 rafiki yangu.
Nimeumizwa mnoo na nimefurahia pia.
Jf ni hatari kuliko hatari yenyewe.

Kuna jamaa alimuumiza mtu humu...
Jamaa alikaa kimya miaka mingi alichofanya alitafuta demu machachari sana, huyu demu wakaanza kuchat na mtuhumiwa na mapenzi mototo yakaanza.

Jamaa alivutwa kutoma msoma had Dar.
Zlijikuta ameangukia Oysterbay polisi, alichofanywa haifai kuongea.

Jf iache Hannah mwanangu, tubaki tukifurahi tu
 
Ukanikaribisha na mm, nikajua tu hii shughuli ya kuselfika inaenda mwishoni[emoji23][emoji23]
Tena wewe ndo umechangia selfika kufa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila selfika ni zaidi ya series mule kulikua na visa vingi, kwanza mimi na wewe tyr tunapata episodes km 100 hivi bado Antonnia na miongozo na wake wenza wake afu babu ndio KUBWA LA MAADUI anakuja kupigwa na Rabbitus yule wa demu wa sate sauzand πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akija coca na Mjep na wale wake wenza wenzie wanawake toleo jipya awwww hatareeee!! Bado wengine wengine

Nyie tutapiga pesa kweli mjue, hizi pesa zinapotea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilikuwepo
Unavyochambwa nilikuwepo nashuhudia mtu anavyotoka povu Kwa hela aliyoamua kutoa Kwa hiari yake.

Mimi hadi Uzi unafungwa nilikuwepo,, si ndio nilianza kugombana na mods Kwa kunipa ban [emoji38]
Ile siku mpk uzi kufungwa chanzo kumchamba modes na ngunyani zenu nakumbuka vzr πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza zilitembea ban afu baadae tukatolewa tulivyorudi mode akawa anafuta picha na comments mkaanza kumchachua

Akifuta nyie mnaweka tena, mara mumuite Mello na modes wake

Wakaona isiwe shida wakaufunga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila kuna watu wanajipa ujiko wali report kumbe hata haikuwa hivo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…