Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Mimi simsemi mtu, wala siko hapa kukunyang'anya uhuru wako, ninaamini katika uhuru ndio maana huwa najiachia na simwogopi mtu...na vita mimi ni mtu wa vita sana, but kamwe ukiona mtu anasemwa wewe soma pita zako.

Hawa wanaotajwa wanasoma kimya kimya, niamini ipo siku watajibu mapigo wakati wewe umejisahau.

Kibaya zaidi watakupiga kwa id mpya.

Jo...ni ushauri tu, uko huru kufanya lolote, unanijua mimi zungu la roho[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]umeujua mchezo wa huku vizuri.
Jf ukiwa na roho nyepesi au unajua kuna kapoint wakikupatia watakuumiza sana inabidi ukae kimya hata usilike mtu akichambwa.
 
Nimefanya juhudi kusoma kuanzia mwanzo hadi hapa, inaonekana kuna Wazee wa aina mbili humu wametajwa.

Bahati mbaya huyo mwingine sijamjua.............ila huyo mwingine ni kama anataka kufananishwa na Mimi.

Inaonekana kuna watu humu wanajaribu kunihusisha na hao wazee wengine wa hovyo ili wapate ya kusema.

Bahati nzuri kwa umri wangu siwezi hata kwa bahati mbaya kutembea na binti yeyote humu. Sio leo wala kesho, sina huo mpango.

Inakuwa ni aibu kwa mtu mzima kumvulia nguo binti mdogo, binafsi sijazoea labda hao wazee wengine wasiojiheshimu.

Kama kuna binti ana uhakika amewahi kulala na Mimi au hata kuonana na mimi aseme hapa, nina zawadi yake ya dollar 35 nimtumie chap saivi.

Wazee wengine tumezoea utani na kufurahi, naomba nisihusishwe na hayo yanayoendelea.

Cheers 🍻
Babu jf usiichukulie siriaz kihivo kumbe limekutesa kiakili masikini poleee!

Binafsi nilikua nakutania tu babuu
kwani ukiwala unadaiwa nanani nyie wote ni watu wazima watu wasiwapangie maisha humu rellaaxx babuu!

Cheers 🥂
 
Selfika kule palikua poa sana tulikua tunaselfika hata kama ni kunafkiana ilikua kunafkiana kwa stara palivovamiwa sasa🤠🤠!!!
Selfika nilikuwa sipafatilii ila kuna siku nilikuwa namtafuta coca ndo nikaibukia huko
Nilivyofika wee nikaona watu oyaa oyaa full mavibe, mara coca anitambulishe shemeji yangu!
Sijakaa sawa naambiwa chagua mume khaaa!! 😂😂😂
Namna gani tena? Mara vocha za gombania zinamwagwa watu wanakanyagana kuwahi
Mara naona watu wanatupia foto, nikaona mambo si ndo haya sasa 😂😂😂

Nikaweka kambi niwasome, nilivyoona humu wanachekeana kwenye maandishi moyoni kila mtu kamshikia mwenzie panga nikaona jau
Kuchunguza vizuri kumbe humo ndani wako wake wenza tupu 😂😂😂😂
Afu wanaogopana kupeana makavu
Ghafla akaibuka babu na mabakuli na figo 2
Nao wana crew yao aiseee!!!

Sema tutengeneza series watu wangu tungeuza kinoma, emu tufanyeni jambo ujue kuna visa vingi sana mule tutapiga pesa ndefu wanaselfika
Mkinga na pesa sasa 😜
 
Babu jf usiichukulie siriaz kihivo kumbe limekutesa kiakili masikini poleee!

Binafsi nilikua nakutania tu babuu
kwani ukiwala unadaiwa nanani nyie wote ni watu wazima watu wasiwapangie maisha humu rellaaxx babuu!

Cheers 🥂
Asante Mjukuu, najua ni utani tu ila kuna Wajukuu wanaweza kuamini kweli..

Hata hivyo tunajua nyumba bila Wazee haijakamilika.

Mjitahidi kutulea Wazee wenu jamani 🥂
 
Selfika nilikuwa sipafatilii ila kuna siku nilikuwa namtafuta coca ndo nikaibukia huko
Nilivyofika wee nikaona watu oyaa oyaa full mavibe, mara coca anitambulishe shemeji yangu!
Sijakaa sawa naambiwa chagua mume khaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Namna gani tena? Mara vocha za gombania zinamwagwa watu wanakanyagana kuwahi
Mara naona watu wanatupia foto, nikaona mambo si ndo haya sasa [emoji23][emoji23][emoji23]

Nikaweka kambi niwasome, nilivyoona humu wanachekeana kwenye maandishi moyoni kila mtu kamshikia mwenzie panga nikaona jau
Kuchunguza vizuri kumbe humo ndani wako wake wenza tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu wanaogopana kupeana makavu
Ghafla akaibuka babu na mabakuli na figo 2
Nao wana crew yao aiseee!!!

Sema tutengeneza series watu wangu tungeuza kinoma, emu tufanyeni jambo ujue kuna visa vingi sana mule tutapiga pesa ndefu wanaselfika
Mkinga na pesa sasa [emoji12]
Ukanikaribisha na mm, nikajua tu hii shughuli ya kuselfika inaenda mwishoni[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umeujua mchezo wa huku vizuri.
Jf ukiwa na roho nyepesi au unajua kuna kapoint wakikupatia watakuumiza sana inabidi ukae kimya hata usilike mtu akichambwa.
Hannah nipo jf yapata miaka 10 rafiki yangu.
Nimeumizwa mnoo na nimefurahia pia.
Jf ni hatari kuliko hatari yenyewe.

Kuna jamaa alimuumiza mtu humu...
Jamaa alikaa kimya miaka mingi alichofanya alitafuta demu machachari sana, huyu demu wakaanza kuchat na mtuhumiwa na mapenzi mototo yakaanza.

Jamaa alivutwa kutoma msoma had Dar.
Zlijikuta ameangukia Oysterbay polisi, alichofanywa haifai kuongea.

Jf iache Hannah mwanangu, tubaki tukifurahi tu
 
Ukanikaribisha na mm, nikajua tu hii shughuli ya kuselfika inaenda mwishoni[emoji23][emoji23]
Tena wewe ndo umechangia selfika kufa 😂😂😂
Ila selfika ni zaidi ya series mule kulikua na visa vingi, kwanza mimi na wewe tyr tunapata episodes km 100 hivi bado Antonnia na miongozo na wake wenza wake afu babu ndio KUBWA LA MAADUI anakuja kupigwa na Rabbitus yule wa demu wa sate sauzand 😂😂😂
Akija coca na Mjep na wale wake wenza wenzie wanawake toleo jipya awwww hatareeee!! Bado wengine wengine

Nyie tutapiga pesa kweli mjue, hizi pesa zinapotea 😂😂😂
 
Nilikuwepo
Unavyochambwa nilikuwepo nashuhudia mtu anavyotoka povu Kwa hela aliyoamua kutoa Kwa hiari yake.

Mimi hadi Uzi unafungwa nilikuwepo,, si ndio nilianza kugombana na mods Kwa kunipa ban [emoji38]
Ile siku mpk uzi kufungwa chanzo kumchamba modes na ngunyani zenu nakumbuka vzr 😂😂😂
Kwanza zilitembea ban afu baadae tukatolewa tulivyorudi mode akawa anafuta picha na comments mkaanza kumchachua

Akifuta nyie mnaweka tena, mara mumuite Mello na modes wake

Wakaona isiwe shida wakaufunga 😂😂😂
Ila kuna watu wanajipa ujiko wali report kumbe hata haikuwa hivo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom