Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mkuu wangu hata wewe huna imani na Wazee?Hapa umekua mnafki, hizi mambo ndio wengine mnafanya tunafunguka tunaonekana wabaya
Msiwe mnaplay victim card, hizi kuwa innocent huwa mnakosea sana wakati uhalisia haupo hivyo
Mswalie mtume Mkuu 🤗