Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Na kwenye kununua kesi upo vizuri sana hahaa!☺️Wanamsema mtu wangu huyu wa nguvu wanataka ninunue hii kesi tu
Wamuache aisee, huyu ana heshima zake nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwenye kununua kesi upo vizuri sana hahaa!☺️Wanamsema mtu wangu huyu wa nguvu wanataka ninunue hii kesi tu
Wamuache aisee, huyu ana heshima zake nyingi
Mlimponza mwenzenuMwachi simuoni siku hizi sijui mlimfanya nini 🤣🤣 lastborn wa jf
Sawa,nilijua story ngoja niende zangu MMUJo narudia, ukiona mtu anasemwa jf, usiweke hata emoj yako.
Kuna wakati mnashambuliwa bila kujua chanzo..
Sasa umejua
😂😂😂 Watu na mashemeji zenuWanamsema mtu wangu huyu wa nguvu wanataka ninunue hii kesi tu
Wamuache aisee, huyu ana heshima zake nyingi
Yes, wakimtandika anakuja kunililia, leo nimemionya mbele za watu nawe shahidi.😂😂😂😂 Dada hana uvumilivu
Sijamchokoza mtu mbona jamani G unanisema hivyo🤦🤦🤦Narudia, ndogo wako @lmomy ana kifua hawezi kuumia lkn wewe mwenye roho ya ndege a.k.a kuku, usiwachokoze wala kuunga mkono anaposemwa mtu...hii ni kwa faida yako, acha mwanangu
Acha wogaa weee jf hujaizoea tu???🤠!Sijamchokoza mtu mbona jamani G unanisema hivyo🤦🤦🤦
Me SUGU nishaletewa mpk PDF la Kantry na sijali wala nini!!Narudia, ndogo wako @lmomy ana kifua hawezi kuumia lkn wewe mwenye roho ya ndege a.k.a kuku, usiwachokoze wala kuunga mkono anaposemwa mtu...hii ni kwa faida yako, acha mwanangu
Hahahaha,haya mie nitapita kesho mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Si bado chochi kule kwa jana[emoji23]
Mimi simsemi mtu, wala siko hapa kukunyang'anya uhuru wako, ninaamini katika uhuru ndio maana huwa najiachia na simwogopi mtu...na vita mimi ni mtu wa vita sana, but kamwe ukiona mtu anasemwa wewe soma pita zako.Sijamchokoza mtu mbona jamani G unanisema hivyo🤦🤦🤦
😂😂😂 Ntakubondaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokooo wee
Kabisa babu! Sema unafiki ndio umejaa humu hahaaa!Watu wanajaribu kupika matukio bahati mbaya yote ni ya uongo.
Naishia kucheka tu.........maana ukionesha kukasirika wanaweza kuongeza juhudi wakukere zaidi
Niko MMU jamani msiniite huku🚶🚶🚶🚶Acha wogaa weee jf hujaizoea tu???🤠!
Jf usiichukulie siriaz!
Sawa sawa,nimekupata vyemaMimi simsemi mtu, wala siko hapa kukunyang'anya uhuru wako, ninaamini katika uhuru ndio maana huwa najiachia na simwogopi mtu...na vita mimi ni mtu wa vita sana, but kamwe ukiona mtu anasemwa wewe soma pita zako.
Hawa wanaotajwa wanasoma kimya kimya, niamini ipo siku watajibu mapigo wakati wewe umejisahau.
Kibaya zaidi watakupiga kwa id mpya.
Jo...ni ushauri tu, uko huru kufanya lolote, unanijua mimi zungu la roho😂
Joni mwoga, akishambuliwa anazama pm kunililia...kumbe hajui huwa analipwa alichokisahau.Me SUGU nishaletewa mpk PDF la Kantry na sijali wala nini!!
Ndo kwanza naongeza mahaba km hakuna kitu 🤣🤣🤣🤣
Nilishapewa wanaume sita afu hata mmoja sijawahi kumuona kwa macho ya nyama
Na wala siwajali ndo kwanza nacheka nao 🤣🤣🤣