Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Adui usimuogope
Me nawakanda mpk wanakuja na id mpya, nazo wakija nazo nawapiga spana wanakimbilia kunireport kwa modes

Ss nataka niongee na Mello niikatie bima id yangu isiwe inasumbuliwa na ban 😂😂😂
Mi kinachonikera humu ni ile mtu kunikomalia as if anajua undani wanguu! Hiko tu ndo sipendagi !Na najua laiti mtu angejua maisha yangu hata robo humu wangeshasimulia kila siku kunihusu wanaishia kuongelea yaleyalee ya miaka 47 !Nacheeeekajeee!

Ukitaka uishi vizuri Jf Usiruhusu watu kukujuaa!
 
Joannah hivi kweli utaninyima kwa maneno ya waja wa jf?😁😁😁 tena wakitusema tunawatumia na shots za maeneo tuliyokula bata. Utafikiri wao hawawekwi😁
 
Mi kinachonikera humu ni ile mtu kunikomalia as if anajua undani wanguu! Hiko tu ndo sipendagi !Na najua laiti mtu angejua maisha yangu hata robo humu wangeshasimulia kila siku kunihusu wanaishia kuongelea yaleyalee ya miaka 47 !Nacheeeekajeee!

Jf Usiruhusu watu kukujuaa!
Km me wanahangaika kunijua sijaona 🤣🤣🤣

Ss hivi wanawatuma watu waniombe namba za simu 🤣🤣🤣

Mbinu za kizamani kweli wanatumia!! Jf kwenyewe naingia kwa VPN
Humu sitoi namba kwa yeyote hata wasijisumbue kwa hilo
 
Yani jf ukitaka uishi kwa raha Usiruhusu watu kukujuaa kama ni wa kufahaiana nao fahamiana na wachache sana wenye akili timamu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom