Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k.

Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.

Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)

Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.

Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.

Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau yeye katimiza wajibu wake.

Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kwa chama chake na Taifa kwa ujumla.

Uzi husika ni huu:

Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
 
Attachments

  • Screenshot_20240922_143557_Chrome.jpg
    Screenshot_20240922_143557_Chrome.jpg
    244.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240922_143541_Chrome.jpg
    Screenshot_20240922_143541_Chrome.jpg
    215.9 KB · Views: 4
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote kuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k)

Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.

Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)

Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.

Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.

Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.

Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni.

Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
Kwani kesho ni mbali Dogo? Kwanini tuandikie "wino" wakati "mate" yapo? Ahahahahaha!!!
 
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote kuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k)

Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.

Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)

Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.

Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.

Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.

Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.

Uzi husika ni huu:

Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
Watu wanaenda kuchagua Kati ya afadhari na angarau sio masiara

Kuna jamaa kasema kwahali ilivyo mtaani Bora apigwe risasi au akale Dona ya bule jera"

Nimeskitika sana
 
Nendeni mkateguliwe viuno tuwaoe wake zenu
 
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote kuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k)

Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.

Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)

Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.

Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.

Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.

Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.

Uzi husika ni huu:

Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
sasa gentleman,
ukipgwa risasi na ukaumizwa vibaya si utatibiwa tu na maisha ya wengine yatasonga japo watakao sumbuka ni familia husika...

Laa ukipigwa risasi na kupoteza maisha, walio hai hawatakuacha hivyo hivyo, watazika mwili na maisha mengine ya walio hai yataendelea kama kawaida tu, hakuna kitakacho simama..

hakuna haja kujipiga kifua kwenye vitu ambavyo vitakuathiri wewe mwenyewe na ndugu zako..

Katika masuala ya Afya ya akili, dalili za mwanzo kabisaa, ni pamoja muhusika mwenye tatizo husika kuwaza, kuamua na kutenda mambo ambayo yatamuathiri yeye mwenyewe 🐒

chukulia mfano wa mambo anayoyafanya kichaa yeyote unaemfaahumu? hivi yale anayoyafanya, yanamsaidia au yatamuathiri tu mwenyewe?🐒
 
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k).

Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.

Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)

Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.

Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.

Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.

Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.

Uzi husika ni huu:

Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:

Kwenye ukombozi haipo haja ya kuwalilia hali wasio tayari.

Kwani mahabusu zao zina uwezo wa kuchukua watu wangapi?

Bila kusahau wanatakiwa kutouuwa Ili isiwe sooo ..
 
Ngoja nifungue kaduka ka kuuza sanda,bandeji, dar.
Nadhani wiki hii biashara itanoga
 
sasa gentleman,
ukipgwa risasi na ukaumizwa vibaya si utatibiwa tu na maisha ya wengine yatasonga japo watakao sumbuka ni familia husika...

Laa ukipigwa risasi na kupoteza maisha, walio hai hawatakuacha hivyo hivyo, watazika mwili na maisha mengine ya walio hai yataendelea kama kawaida tu, hakuna kitakacho simama..

hakuna haja kujipiga kifua kwenye vitu ambavyo vitakuathiri wewe mwenyewe na ndugu zako..

Katika masuala ya Afya ya akili, dalili za mwanzo kabisaa, ni pamoja muhusika mwenye husika kuwaza, kuamua na kutenda mambo ambayo yatamuathiri yeye mwenyewe 🐒

chukulia mfano wa mambo anayoyafanya kichaa yeyote unaemfaahumu? hivi yale anayoyafanya, yanamsaidia au yatamuathiri tu mwenyewe?🐒
Dunia hii ipo hapa ilipo kwa watu wengi kujitoa kwaajili ya mataifa yao.

Wewe bwege unayefikiria kuwa alimradi unashiba dona, huna haja ya kuhangaikia future ya Taifa lako na watu wake, endelea kula dona yako. Waache waliokamilika kiakili na kiroho wapiganie haki zao na za wanadamu wenzao.
 
Samia must Go!
Samia must leave!
Samia must quit!
Or else she will be ousted.
 
Ila ni umakini unatakiwa, kushika panga sehemu za makali na mwingine anashika mpini sio mchezo,. Aliyeshika mpini labda awe mtoto ndio utamshinda.
 
Dunia hii ipo hapa ilipo kwa watu wengi kujitoa kwaajili ya mataifa yao.

Wewe bwege unayefikiria kuwa alimradi unashiba dona, huna haja ya kuhangaikia future ya Taifa lako na watu wake, endelea kula dona yako. Waache waliokamilika kiakili na kiroho wapiganie haki zao na za wanadamu wenzao.
tunawashukuru sana na tunafurahia kwa namna walivyojitolea, na kwakweli maisha yanakwenda vizuri ingawa wao wamekufa Lakini pia hata wasinge kufa yangeendelea vizuri tu vile vile 🤣

Lakini sasa sijui ni tatizo la Afya ya akili au nini, mtu hajui hata anapambania nini halafu anapigwa rungu la kiuno, kisha tunamzika na tunamsahau 🐒

sasa kuna faida gani hapo, yaan kwa mihemko ya kinyumbu tu unaekufa?🤣

mbona watu hawathamini zawadi ya uhai alowapa Mungu aisee?🐒
 
Back
Top Bottom