Mkuu hivi ni uthibitisho gn unahitaji ili uamini kama bahari ni kiumbe cha MUNGU?Sasa thread kama hizi kuna vitu mi huwa naona mnakosea elezea toa facts zako ili watu waelewe, huwezi kusema MAJI, HEWA, MOTO, ARDHI alafu huyo mtu atafute mnajimu aliyekaribu naye. Wewe mwaga madude hapa kama kukupinga tukupinge vinginevyo utakuwa unafosi ulichokiandika tukubaliane nacho tu.
Kwasababu swala la bahari kuwa na uhai halina uthibitisho isipukuwa ina support viumbe walio hai ungetuelezea sasa.
Pia kutokana na astrology/zodiac kuna signs hugawanywa katika elements nne: ndiyo hizo moto, maji, hewa na ardhi sasa ndiyo useme kivipi au na wewe umeyasoma sehemu tu umekuja kuyamwaga humu.
🤷
Kwasababu swala la bahari kuwa na uhai halina uthibitisho isipukuwa ina support viumbe walio haiSasa thread kama hizi kuna vitu mi huwa naona mnakosea elezea toa facts zako ili watu waelewe, huwezi kusema MAJI, HEWA, MOTO, ARDHI alafu huyo mtu atafute mnajimu aliyekaribu naye. Wewe mwaga madude hapa kama kukupinga tukupinge vinginevyo utakuwa unafosi ulichokiandika tukubaliane nacho tu.
Kwasababu swala la bahari kuwa na uhai halina uthibitisho isipukuwa ina support viumbe walio hai ungetuelezea sasa.
Pia kutokana na astrology/zodiac kuna signs hugawanywa katika elements nne: ndiyo hizo moto, maji, hewa na ardhi sasa ndiyo useme kivipi au na wewe umeyasoma sehemu tu umekuja kuyamwaga humu.
🤷
Sasa thread kama hizi kuna vitu mi huwa naona mnakosea elezea toa facts zako ili watu waelewe, huwezi kusema MAJI, HEWA, MOTO, ARDHI alafu huyo mtu atafute mnajimu aliyekaribu naye. Wewe mwaga madude hapa kama kukupinga tukupinge vinginevyo utakuwa unafosi ulichokiandika tukubaliane nacho tu.Sasa thread kama hizi kuna vitu mi huwa naona mnakosea elezea toa facts zako ili watu waelewe, huwezi kusema MAJI, HEWA, MOTO, ARDHI alafu huyo mtu atafute mnajimu aliyekaribu naye. Wewe mwaga madude hapa kama kukupinga tukupinge vinginevyo utakuwa unafosi ulichokiandika tukubaliane nacho tu.
Kwasababu swala la bahari kuwa na uhai halina uthibitisho isipukuwa ina support viumbe walio hai ungetuelezea sasa.
Pia kutokana na astrology/zodiac kuna signs hugawanywa katika elements nne: ndiyo hizo moto, maji, hewa na ardhi sasa ndiyo useme kivipi au na wewe umeyasoma sehemu tu umekuja kuyamwaga humu.
🤷
ufafanuzi kidogo hata kama watu hawaelewi lakini wengine wanaelewaBahari inakuona, inakusikia na inaweza kufanya maamuzi ya ajabu juu yako mpaka watu wakashangaa 😳 unapoiangalia Bahari unaona ni maji tu ila bahari ina uhai, yaani Bahari inajua nini kinaendelea, nini cha kufanya, inajua kila kitu.
Mtawala Xerxes 1 wa Persia aliamua kuiadhibu Bahari baada ya kuona imeharibu daraja alilokuwa amelijenga, akawaita wanajeshi wake wakaanza kuichapa baada ya hapo akalijenga tena daraja na Bahari haikulibomoa tena. Hii inaonesha ni kwa namna gani Bahari ina uhai.
Niliona hata kwenye video moja kuna mwanamke alikuwa akiingia kwenye Bahari anapigwa na mawimbi, ni kama Bahari inachafuka. Ilitaka kumuua ila cha ajabu watu walipokuwa wakimchukua na kumpeleka nje, Bahari inatulia, hakuna mawimbi. Akienda kuingia tu, mawimbi yanaanza kupiga tena, ni kwamba Bahari ilikuwa inamkataa. Watu wenye asili ya moto ndiyo wengi wanaoongoza kufa baharini, kama asili yako ni moto usipende sana kuogelea baharini utakufa.
Sio tu bahari, kuna vingi vyenye uhai wanasayansi wameshindwa kuvipa hiyo sifa mpaka leo. Ardhi, pepo, (upepo), moto na maji ni miongoni mwa hivyo.Bahari inakuona, inakusikia na inaweza kufanya maamuzi ya ajabu juu yako mpaka watu wakashangaa 😳 unapoiangalia Bahari unaona ni maji tu ila bahari ina uhai, yaani Bahari inajua nini kinaendelea, nini cha kufanya, inajua kila kitu.
Mtawala Xerxes 1 wa Persia aliamua kuiadhibu Bahari baada ya kuona imeharibu daraja alilokuwa amelijenga, akawaita wanajeshi wake wakaanza kuichapa baada ya hapo akalijenga tena daraja na Bahari haikulibomoa tena. Hii inaonesha ni kwa namna gani Bahari ina uhai.
Niliona hata kwenye video moja kuna mwanamke alikuwa akiingia kwenye Bahari anapigwa na mawimbi, ni kama Bahari inachafuka. Ilitaka kumuua ila cha ajabu watu walipokuwa wakimchukua na kumpeleka nje, Bahari inatulia, hakuna mawimbi. Akienda kuingia tu, mawimbi yanaanza kupiga tena, ni kwamba Bahari ilikuwa inamkataa. Watu wenye asili ya moto ndiyo wengi wanaoongoza kufa baharini, kama asili yako ni moto usipende sana kuogelea baharini utakufa.
Sawa mkuu nimekusoma kwa umakini ila Unaposema bahari ni kiumbe cha Mungu, unamaanisha bahari ni kitu kilichoumbwa na Mungu, au unamaanisha bahari yenyewe ni kiumbe hai chenye consciousness, uwezo wa kusikia, kufikiri na kuamua?Mkuu hivi ni uthibitisho gn unahitaji ili uamini kama bahari ni kiumbe cha MUNGU?
Nabii Musa alipokimbizwa na Pharao na jeshi lake alipokuta bahari akaichapa fimbo na bahari ikatii kwa kukatika katikati wakapita salama.
-Siku moja Yesu yupo kwenye mtumbwi na wanafunzi wake wanasafiri akapitiwa na usingizi,,alipoamka alikuta bahari inadhoruba kali sana ,,akaikemea na bahari ikatiii..
Narudi kwko mkuu,,hivi kitu ambacho unakikemea na kukutii sio kiumbe hai?
-Jaribu siku moja ongea mambo ya hovyo baharini kama utatoka salama..
-Kuna siku moja niliwahi kwenda baharini,,nilikuwa nimekwenda ktk beach part fulani hivi,,wakati wenzangu wapo busy na music mimi nilikwenda baharini maji ya magoti,,,nikaongea na bahari na haikupita siku 7 mambo yng yote yalifunguka .
Bahari ni kiumbe cha Mungu mkuu...
Mkuu umebadilisha maana ya ‘support’. Kusema bahari inasupport viumbe hai hakumaanishi bahari yenyewe ni kiumbe hai. Udongo unasupport mimea lakini udongo si kiumbe, hewa inasupport maisha lakini hewa si kiumbe, nyumba inasupport maisha ya familia lakini nyumba si kiumbe hai. Bahari ni ecosystem/environment inayowezesha viumbe hai kuishi. Sasa kama unadai bahari yenyewe ni kiumbe hai, unatakiwa kuthibitisha kwamba bahari yenyewe ina sifa za kiumbe hai si tu kwamba kuna viumbe hai ndani yake.Kwasababu swala la bahari kuwa na uhai halina uthibitisho isipukuwa ina support viumbe walio hai
Umesema bahari kuwa na uhai halina uthibitisho Lakini wakati huo huo umekubali bahari isiyokuwa na uhai ku support viumbe walio hai (umejichanganya)
Na kama bahari ni mfu inawezaje ku support viumbe hai???
Inasapoti vipi vilivyo hai? Bahari yenyewe ni kiumbe hai mkuu...Kwasababu swala la bahari kuwa na uhai halina uthibitisho isipukuwa ina support viumbe walio hai
Umesema bahari kuwa na uhai halina uthibitisho Lakini wakati huo huo umekubali bahari isiyokuwa na uhai ku support viumbe walio hai (umejichanganya)
Na kama bahari ni mfu inawezaje ku support viumbe hai???
Elimu hii si ya kila mtu, it's inner deep education!,pengine hata kuielewa ni ngumu sana kwa baadhi ya watu./Niliambiwa cha Arusha ni kikali nikawa ninabisha
Exactly, well said, elimu za makaratasi ni shida sana na walioweka hizi elimu waliziweka hivyo kwa malengo maalum.Elimu hii si ya kila mtu, it's inner deep education!,pengine hata kuielewa ni ngumu sana kwa baadhi ya watu./
•Udongo ipo hai
•Bahari ipo pia hai
•Hewa ina uhai
•Moto una uhai.
Exactly mkuu,,udongo pia ni kiumbe hai.Elimu hii si ya kila mtu, it's inner deep education!,pengine hata kuielewa ni ngumu sana kwa baadhi ya watu./
•Udongo ipo hai
•Bahari ipo pia hai
•Hewa ina uhai
•Moto una uhai.
Bahari ni kiumbe haiMkuu umebadilisha maana ya ‘support’. Kusema bahari inasupport viumbe hai hakumaanishi bahari yenyewe ni kiumbe hai. Udongo unasupport mimea lakini udongo si kiumbe, hewa inasupport maisha lakini hewa si kiumbe, nyumba inasupport maisha ya familia lakini nyumba si kiumbe hai. Bahari ni ecosystem/environment inayowezesha viumbe hai kuishi. Sasa kama unadai bahari yenyewe ni kiumbe hai, unatakiwa kuthibitisha kwamba bahari yenyewe ina sifa za kiumbe hai si tu kwamba kuna viumbe hai ndani yake.
Hapo ndipo mjadala ulipo. 😄
Kabisa mkuu,Alafu achanganye na damu huchomoki