Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna mahala nimesema sitaki agombee? Kugombea ni Haki ya Kila mtu,Mimi nimeonya hatari ya kumchagua kuwa Rais wa TLS kulingana na hulka na tabia zake.

Wapigakura wataamua.
 
Kuna mahala nimesema sitaki agombee? Kugombea ni Haki ya Kila mtu,Mimi nimeonya hatari ya kumchagua kuwa Rais wa TLS kulingana na hulka na tabia zake.

Wapigakura wataamua.
Ni kitu gani kinachokufanya uone ajabu sana endapo Mwabukusi akiwa Rais wa TLS?!
 
Nyie ndio Huwa mnajiina mnazo na msivyojiamini mkajiongezea na mbele eti msomi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sijawahi ona popote Duniani Mwanasheria akapewa tuzo ya Nobel Kwa sababu ya kuwa mwanataaluma ya sheria.
Ustaarabu na ustawi wa maisha katika Taifa ni zaidi ya Tuzo za Nobel.Wewe ni CCM tu hauna maana, mnataka muendelee kuudidimiza ustawi wa maisha kwenye kila nyanja, sheria mbovu na kandamizi, mikataba mibovu nk.Muzidi kuneemeka wachache na matumbo yenuWewe ni IN.YA sana na CCM wote.
 

Bado hamjasema!

Nakazia:

Na bado!
 
Tunataka Watu wenye kuhoji kama Mwabukusi sio Makada wa Chama cha Mapinduzi kama Nkuba ambao ni "Ndio Mzee".
 
Sheria ni zile zile kwamba Rais ndio mwenye uamzi wa Kila kitu na ndio anatoa dira.

..wagombea wanasema TLS inaongozwa na maamuzi ya GC, haiongozwi kwa utashi wa Raisi wake.

..kwa upande mwingine, ktk nchi yenye ukiukwaji mkubwa wa haki za wananchi, sio sahihi chama chake cha wanasheria kuwa kimya kama ilivyo TLS.

..TLS inatakiwa kuchangamka na nadhani Adv Mwabukusi ni mtu sahihi kwa mkakati hizi.
 
Mkae kwa kutulia sana sana. Maana msiyempenda kaja🀣
 
kama haujui, wanasheria wote sio wanaccm, ni wanaharakati kwasababu kwa kusoma tu sheria huwezi kukubaliana na matendo ya ccm. hata hao walioko ccm ni kwasababu tu ya njaa au uchawa wanatafuta vyeo ndio maan awengine waligombea ubunge ccm kama huyo nkuba. uanaharakati sio dhambi, kama unapigania haki za watu, ndio mapenzi ya Mungu hayo, Mungu ni Mungu wa haki na haki yakaa ndani yake, wewe kama unavunja haki utapigwa na Mungu na kama unatetea haki utabarikiwa.

kwahiyo tuseme NKuba ambaye alishawahigombea ubunge angeshinda TLS ingekuwa ya ccm? mshindwe kwa Jina la Yesu majizi nyie.
 
Hivi kwa ujumla wanasheria wanashaurika? Si ndio wanaoitwa Wasomi? By the way sifungamani na yeyote ila kusimamia misingi ya sheria na utawala bora ndio jambo la msingi na la manufaa kwa wote.
'' Haijalishi paka ana rangi gani cha muhimu awe na uwezo wa kukamata panya''.
 
Mkuu uliona mbaliπŸ˜ƒ

Ulijuaje kuwa B.M. ndiye Rais ajaye wa TLS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…