Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahala nimesema sitaki agombee? Kugombea ni Haki ya Kila mtu,Mimi nimeonya hatari ya kumchagua kuwa Rais wa TLS kulingana na hulka na tabia zake.Kwanza hongera sana kwa andiko lako, pia ni jambo jema kwako kuona hatari ya Adv. Mwambukusi endapo akiwa Rais wa TLS kwa mtazamo wako kuwa Mawakili wataburuzwa kiharakati huku ukionesha vielelezo kuwa Adv. Mwambukusi anahusika na CHADEMA au harakati za kupingana na CCM na serikali ya CCM. Nina maswali haya:
Kwa maelezo yako unakwenda tofauti na Mahakama kumruhusu Adv. Mwambukusi kurudi kugombea? Ebu tupe sababu kwanini hutaki Adv. Mwambukusi agombee? Kama unaona kuna madhara ya CHADEMA kuathiri utendaji kazi wa Adv. Mwambukusi kama Rais wa TLS, Je unadhani CCM haileti athari kwenye utendaji kazi wa viongozi na wateule ambao ni wanachama wa CCM? Tanzania ni yetu sote, sio ya CHADEMA, sio ya CCM, sio ya CUF, sio CHAUMA, wala sio ya Samia. Sasa unadhani kikatiba Adv. Mwambukusi ataitumiaje nafasi yake kuburuza mawakili endapo akiwa Rais wa TLS?Na kumbuka kuwa kuna mgombe mmoja wa nafasi ya Urais wa TLS ni kada wa CCM, je naye pia hatakiwi kugombea Urais au yeye hawezi kuburuza mawakili kiharakati?!
Babu uko kimya sana,uzee umeanza kung'ata? Au ndio busara zenyewe? 😂😂
Ni kitu gani kinachokufanya uone ajabu sana endapo Mwabukusi akiwa Rais wa TLS?!Kuna mahala nimesema sitaki agombee? Kugombea ni Haki ya Kila mtu,Mimi nimeonya hatari ya kumchagua kuwa Rais wa TLS kulingana na hulka na tabia zake.
Wapigakura wataamua.
Nimeeleza kwenye mada ,rudia kusoma hata kichwa Cha mada kinaeleza waziNi kitu gani kinachokufanya uone ajabu sana endapo Mwabukusi akiwa Rais wa TLS?!
Ustaarabu na ustawi wa maisha katika Taifa ni zaidi ya Tuzo za Nobel.Wewe ni CCM tu hauna maana, mnataka muendelee kuudidimiza ustawi wa maisha kwenye kila nyanja, sheria mbovu na kandamizi, mikataba mibovu nk.Muzidi kuneemeka wachache na matumbo yenuWewe ni IN.YA sana na CCM wote.Nyie ndio Huwa mnajiina mnazo na msivyojiamini mkajiongezea na mbele eti msomi 😆😆😆😆
Sijawahi ona popote Duniani Mwanasheria akapewa tuzo ya Nobel Kwa sababu ya kuwa mwanataaluma ya sheria.
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19
Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂
Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Naona kuna wengine ambao hata siyo wanasheria wameanza kuweweseka
Wewe unafahamu CHADEMA ni chama cha Siasa halali au haramu? Nini tatizo mwana CHADEMA kugombea nafasi ya uongozi wowote ule kama sifa anazo??!Ilani ya CCM inasemaje kwenye hili?
How? Mbona Lisu na wengine wamewahi kuwa hapo Je walipeleka mbele au nyuma?
Sheria ni zile zile kwamba Rais ndio mwenye uamzi wa Kila kitu na ndio anatoa dira.
Mkae kwa kutulia sana sana. Maana msiyempenda kaja🤣Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇
Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂
Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Mkuu uliona mbali😃Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇
Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂
Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
mwambie atulize kitoa takamwili chake huyo dogo chawa.Ww ni Wakili number ngapi?