Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
.
20240728_084912.jpg
 
Kwanza hongera sana kwa andiko lako, pia ni jambo jema kwako kuona hatari ya Adv. Mwambukusi endapo akiwa Rais wa TLS kwa mtazamo wako kuwa Mawakili wataburuzwa kiharakati huku ukionesha vielelezo kuwa Adv. Mwambukusi anahusika na CHADEMA au harakati za kupingana na CCM na serikali ya CCM. Nina maswali haya:​
  1. Kwa maelezo yako unakwenda tofauti na Mahakama kumruhusu Adv. Mwambukusi kurudi kugombea? Ebu tupe sababu kwanini hutaki Adv. Mwambukusi agombee?
  2. Kama unaona kuna madhara ya CHADEMA kuathiri utendaji kazi wa Adv. Mwambukusi kama Rais wa TLS, Je unadhani CCM haileti athari kwenye utendaji kazi wa viongozi na wateule ambao ni wanachama wa CCM?
  3. Tanzania ni yetu sote, sio ya CHADEMA, sio ya CCM, sio ya CUF, sio CHAUMA, wala sio ya Samia. Sasa unadhani kikatiba Adv. Mwambukusi ataitumiaje nafasi yake kuburuza mawakili endapo akiwa Rais wa TLS?
Na kumbuka kuwa kuna mgombe mmoja wa nafasi ya Urais wa TLS ni kada wa CCM, je naye pia hatakiwi kugombea Urais au yeye hawezi kuburuza mawakili kiharakati?!
Kuna mahala nimesema sitaki agombee? Kugombea ni Haki ya Kila mtu,Mimi nimeonya hatari ya kumchagua kuwa Rais wa TLS kulingana na hulka na tabia zake.

Wapigakura wataamua.
 
Kuna mahala nimesema sitaki agombee? Kugombea ni Haki ya Kila mtu,Mimi nimeonya hatari ya kumchagua kuwa Rais wa TLS kulingana na hulka na tabia zake.

Wapigakura wataamua.
Ni kitu gani kinachokufanya uone ajabu sana endapo Mwabukusi akiwa Rais wa TLS?!
 
Nyie ndio Huwa mnajiina mnazo na msivyojiamini mkajiongezea na mbele eti msomi 😆😆😆😆

Sijawahi ona popote Duniani Mwanasheria akapewa tuzo ya Nobel Kwa sababu ya kuwa mwanataaluma ya sheria.
Ustaarabu na ustawi wa maisha katika Taifa ni zaidi ya Tuzo za Nobel.Wewe ni CCM tu hauna maana, mnataka muendelee kuudidimiza ustawi wa maisha kwenye kila nyanja, sheria mbovu na kandamizi, mikataba mibovu nk.Muzidi kuneemeka wachache na matumbo yenuWewe ni IN.YA sana na CCM wote.
 
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19

Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂

Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS

Bado hamjasema!

Nakazia:

Na bado!
 
Tunataka Watu wenye kuhoji kama Mwabukusi sio Makada wa Chama cha Mapinduzi kama Nkuba ambao ni "Ndio Mzee".
 
Sheria ni zile zile kwamba Rais ndio mwenye uamzi wa Kila kitu na ndio anatoa dira.

..wagombea wanasema TLS inaongozwa na maamuzi ya GC, haiongozwi kwa utashi wa Raisi wake.

..kwa upande mwingine, ktk nchi yenye ukiukwaji mkubwa wa haki za wananchi, sio sahihi chama chake cha wanasheria kuwa kimya kama ilivyo TLS.

..TLS inatakiwa kuchangamka na nadhani Adv Mwabukusi ni mtu sahihi kwa mkakati hizi.
 
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇

Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂

Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Mkae kwa kutulia sana sana. Maana msiyempenda kaja🤣
20240801_160033.jpg
 
kama haujui, wanasheria wote sio wanaccm, ni wanaharakati kwasababu kwa kusoma tu sheria huwezi kukubaliana na matendo ya ccm. hata hao walioko ccm ni kwasababu tu ya njaa au uchawa wanatafuta vyeo ndio maan awengine waligombea ubunge ccm kama huyo nkuba. uanaharakati sio dhambi, kama unapigania haki za watu, ndio mapenzi ya Mungu hayo, Mungu ni Mungu wa haki na haki yakaa ndani yake, wewe kama unavunja haki utapigwa na Mungu na kama unatetea haki utabarikiwa.

kwahiyo tuseme NKuba ambaye alishawahigombea ubunge angeshinda TLS ingekuwa ya ccm? mshindwe kwa Jina la Yesu majizi nyie.
 
Hivi kwa ujumla wanasheria wanashaurika? Si ndio wanaoitwa Wasomi? By the way sifungamani na yeyote ila kusimamia misingi ya sheria na utawala bora ndio jambo la msingi na la manufaa kwa wote.
'' Haijalishi paka ana rangi gani cha muhimu awe na uwezo wa kukamata panya''.
 
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇

Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂

Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Mkuu uliona mbali😃

Ulijuaje kuwa B.M. ndiye Rais ajaye wa TLS?
 
Back
Top Bottom