Mfanyabiashara Toka Japan
Member
- Aug 23, 2019
- 22
- 19
Ubarikiwe mkuuWakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).
Nisisitize, KUWENI MAKINI NA MATAPELI!
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Ndio maana nasema subiri amalize kwanza kulipa fine zote then nitaweka kila kitu humu,unafcha nin kumtaja kama ilikuwa ni biashara halali watu wamjue humu wakae nae mbali
Mimi nimechukua kipi kwakoBro acha utapeli kwanza mwenyewe
Sio kila mtu ana fake maisha mzee najua nilivyohangaika mwenyewe elimu kitaa imenifunza mengiWema wapo humu ila wengi wanafake maisha usikute hata wewe mleta mada upo kazimzumbwi kisarawe ila unatisha TU watu upo Australia japo inawezekana upo huko kutokana na uongo uliojaa humu tunakuwa na mashaka
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mungu atusaidieHii inafikirisha sana aisee. Vijana tunaangushana sana yaani
Tuambie alitaka kukutapeli kutapeli kivipi na sisi tujue jinsi ya kuepukana nae.Humu matapeli kibao,kuna jamaa kutoka hapa JF alitaka kunitapeli, ni kule jukwaa
Tuwe makini.
Soma vizuri mkuu utaelewa nilimtumia vifaa afungue ofisi tuwe tunapata pesa japo kidogo Sasa yeye akaona auze sasaTuambie alitaka kukutapeli kutapeli kivipi na sisi tujue jinsi ya kuepukana nae