Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haJf ndio mtandao unaongoza kwa matapeli na wababaishaji binafsi ni nilishawahi tapeliwa humu kipindi najiunga nilikuwa naona Kila member humu ni ana hela
Mwezi uliopita kuna
Bidhaa nilikuwa naitafuta humu akajitokeza jamaa anasema anayo kuja kunitajia Bei nikakuta anauza Bei ya chini sana nikashtuka
Matapeli wamechachamaa.....
🙄🙄🙄🙄Vile Matapeli wa jf wanavyojificha kwenye vivuli vya kujidai ni watoa msaadaView attachment 1882739
Hajatajwa mtu kwanza
Kwa hiyo hawa ndio matapeli mkuu?
Wanasikilizia kama lists ya matapeli wote watatajwa.Vile matapeli wa JF wanavyochungulia huu uzi![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1882736
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Vile Matapeli wa jf wanavyojificha kwenye vivuli vya kujidai ni watoa msaadaView attachment 1882739
Endelea kukaririKunao uwezekano ww nitapeli, possibly upo hapa hapa bongo bt unatafuta hizo fines na ela za usumbufu kwa kushirikiana na wenzio kuanzia dhl mpk huko police kuhakikisha unapata chochote cha usumbufu. Inshort dogo ameingia ktk mikono ya tapeli makini, japo kunao uwezekano dogo sitapeli ila alihtaj ela yakuanzia maisha.
Hata mimi nimeshtukia hapo ndipo mtego ulipo.Hii story yako imekaa kitapeli tapeli sana ,! unajua lazima kuna watu watakufata kuhitaji izo camera sijui komputer na hapo ndo target yako inapoanzi shenziiiiii[emoji35]
Hizo zipo kwa ajili yangu na sikuwa nauza isipokuwa nilitaka mtu mwenye ulewa kufanya kazi tugawane mimi kutoa vifaa na yeye kuweka ujuziHata mimi nimeshtukia hapo ndipo mtego ulipo.
Watu watazihitaji hizo camera kali za kumnasa mtu hata ukiwa nchi za mbali
AhsanteWanasikilizia kama lists ya matapeli wote watatajwa.
Lakini hii mada ina utata fulani kuna maswali mengi najiuliza.
1.Huyo mtu hamjuani ulijiamini vipi kumpatia hivyo vitu?
2.Ulitumia mtego gani wa kumnasa mtu ambaye yuko nchi nyingine?
3.Alitaka kuviuza hivyo vitu lakini akapatana na mteja ambaye ni rafiki yako,what if angepata mteja ambaye humfahamu ungefanyaje?
Hizo zipo kwa ajili yangu na sikuwa nauza isipokuwa nilitaka mtu mwenye ulewa kufanya kazi tugawane mimi kutoa vifaa na yeye kuweka ujuzi
Hilo tapeli lina id nyingi mara litumie "mhamasishaji" na "mhanila".Humu matapeli kibao,kuna jamaa kutoka hapa JF alitaka kunitapeli, ni kule jukwaa la Ajira na Tenda.
Tuwe makini.