Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mi ndo ninachosema kwamba hata yeye hakua katika namna ya kutaka ishu ifanikiwe.Huyu jamaa hamna kitu. Sijasoma alichoandika najua ni uongo asilimia zote. Ukipitia kwenye uzi wake wa kuwa na vifaa vya camera Ulaya anatafuta partner utaona mwishoni nilivyomkataa kiaina mpaka leo naamini ni tapeli bahati nzuri sipendi unafiki.
Pitia uzi wake ule uone alivyo mzungushaji, kila aliyeenda PM hawakuelewana ana visababu vingi. Pitia watu walivyoanza kutaka kumuagiza vifaa vya kompyuta, laptops, etc.
#MsisemeHamjambiwa
Ila kwakua kasema ana ushahidi ngoja auoneshe.
Memba mmoja Isanga family amesema anaweza akawa ana id tofauti so anaipa kesi moja.
Akianza kuweka ushahidi na hilo litaangaliwa