Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,365
- 2,842
Jamaa anajiita "MHAMASISHAJI",huyu kiumbe ni Jokeli tena Joker lenye njaa haswaa.Mtaje jina aliyetaka kukutapeli hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anajiita "MHAMASISHAJI",huyu kiumbe ni Jokeli tena Joker lenye njaa haswaa.Mtaje jina aliyetaka kukutapeli hapa.
Yeah ni huyu huyu mganga njaa pangupakavu! Jamaa ana usongo na pesa ya utapeli huyu,haachi hata kama ni buku.Hilo tapeli lina id nyingi mara litumie "mhamasishaji" na "mhanila".
Mimi niko bongo land siku hizi mkuu..napigwa na jua tu hapa la Dodoma...Oya jiheshimu weweeee.
Au kwa kuwa umepata safari upo Uarabuni unatuona sote mafamba???
Wewe siyo tapeli.Yeah ndio sisi.
Duh Mimi nipo Dodoma haya uje nikutapeli.Kkkk huyo jamaa yupo uarabuni ya Buza kwa Mpalange labda. Atawatapeli kweri kweri mkimuamini.
Mkuu,Natamani kusikia stori hii zaidi,Nakumbuka uzi wako.Ujanja ujana mwingi sana Tanzania.Wakuu habari za Mchana huko home Tanzania,
Naomba kwenda kwenye mada husika hapo Kama kichwa Cha habari kisemavyo, Ndugu zangu mnakumbuka kwa wale mliopitia uzi wangu wa "kijana wa kitanzania nishawishi nikupe ajira" vifaa Kama camera na laptop, niliweka ule uzi sio nikiwa namaanisha kabisa na sikuwa nadanganya, baada mda nilisoma mabandiko ya vijana waliotaka niwape vifaa hivyo.
Baada ya mda fulani nilichuja mabandiko ikatokea kijana mmoja akaja kwa kilio kweli mpaka nikamwonea huruma kulingana na alivyonipa story za maisha Kama mnavyojua nami pia hapa nilipo ni kwa sababu ya msaada kutoka kwa watu na Kama mnakumbuka Kuna uzi wangu humu story ya kutoka Singida to dar kwa kutafuta kupata msaada wa elimu.
Basi kijana alitiririka vizuri nikapendwa na kufurahia nikaona isiwe tabu ngoja tuone tinawezaje kuionuana, nilifunga baadhi ya vifaa na kutaka kupima Imani yake vizuri kwanza nilichukua camera mbili laptop 1 heavy na baadhi ya taa na vitu vingine nikavifungasha kutokea Canberra ofsi ya DHL gharama zote juu yangu yeye ni kwenda kupokea tu.
Kweli vifaa vilifika salama kabisa akaenda kuvichukua na akakabidhiwa Ila kwa mtego wa Hali ya juu amekaa na vifaa hivyo week mbili sasa bila kuanza kazi na akaanza kuvitafutia soko la kuviuza, kwa bahati nzuri katika mitego yangu yote kajitokeza jamaa ambae ni moja ya watu niliokuwa nimewatega kajifanya kuvinunua nae kwa ujinga akaruhusu kumpa jamaa kwa kuahidiwa kuwa jioni ya Leo apitie pesa yote.
Baada ya kupewa ahadi hiyo jamaa akaenda kukata tiketi ya kesho kwenda Geita coz kwa Imani yake fedha ya kuanzia maisha anayo lakini mda wa kurudi Kama saa 5 na madakika akitokea kukata ticket now kawekwa mikono salama, atalipa fedha zote za usumbufu wa usafirishaji wa vifaa na Mambo mengine.
Huyu kijana ni member humu na baada ya taratibu zingine kukamilika nitapandisha uzi kwa kila hatua na mazungumzo yote jinsi ilivyokuwa Hadi kufikia Leo dogo yupo lockup.
My take: vijana mjitahidi kusoma alama za nyakati si kila mtu ni mzembe kiivyo na mpumbavu kiasi kwamba una uwezo wa kufanya chochote wengine sisi katika maisha yetu ya mateso tumejifunza mengi na kufuzu vingi kuliko elimu ya darasani, Mungu awasaidie mtoke kwenye ujinga na kwenda nuruni tupo tayari kuwasaidia lakini hatupo tayari kwa watu wazembe kiasi hiki, Mungu anawapenda mno.
"Kijana geuka"
Mitandaoni kuna utapeli mwingi sana.Are you Gulible?Dah! Huu uzi umenikumbusha machungu ya mwaka 2019.
Kuna member anaitwa Tripp
Ebhana huyu jamaa na mwenzie walinitapeli laptop na pesa kwa kuniuzia kifaa kibovu na ningekaa vibaya wangepiga 1M+ ya kununua camera.
Hawa niliwalea kama wanangu kwa weeek nzima niliyokua dar. Pesa na laptop hainiumi sana zaidi ya buku nilizotuma zaidi ya mara moja ya kununua umeme kwa ajili ya kupasi nguo kwa ajili ya kwenda kwenye kazi, imeniuma kwa sababu kile kidogo nilichokituma kilikua na thaman sana kwake coz alikua anakihitaji sana kwa wakati ule.
Pia kabla hatujakutana na hatujuani vizuri, ni kuongea tu kwenye simu week mbili za mwanzo alinijulisha kufungiwa ofisi yake na TRA
nikaingiwa na huruma nikamtumia elfu 30 angalia hatujuani vizuri, inaniuma sana na naamini hio pesa kwa wakati ule ilikua na thamani sana sababu alihiitaji sana, na bado walinitapeli.
Sikuona sababu ya kupoteza mda wangu kuwafatilia, coz pesa inatafutwa.
Ondoa shaka nitaleta mkuu.Mkuu,Natamani kusikia stori hii zaidi,Nakumbuka uzi wako.Ujanja ujana mwingi sana Tanzania.
Yep,i might be.Mitandaoni kuna utapeli mwingi sana.Are you Gulible?
Sio kila mtu ana fake maisha mzee najua nilivyohangaika mwenyewe elimu kitaa imenifunza mengi
AhsanteWEWE ni tapeli full stop, progress ya story zako ni uongo mtu! Too good to be true, umesumbua vijana wa watu kujieleza, then Hakuna lo
Mkuu unaweza kuweka id ya huyo kijana ili tumjue?Ahsante
Mungu atusai
Tuambie alitaka kukutapeli kutapeli kivipi na sisi tujue jinsi ya kuepukana nae.
Wakuu habari za Mchana huko home Tanzania,
Naomba kwenda kwenye mada husika hapo Kama kichwa Cha habari kisemavyo, Ndugu zangu mnakumbuka kwa wale mliopitia uzi wangu wa "kijana wa kitanzania nishawishi nikupe ajira" vifaa Kama camera na laptop, niliweka ule uzi sio nikiwa namaanisha kabisa na sikuwa nadanganya, baada mda nilisoma mabandiko ya vijana waliotaka niwape vifaa hivyo.
Baada ya mda fulani nilichuja mabandiko ikatokea kijana mmoja akaja kwa kilio kweli mpaka nikamwonea huruma kulingana na alivyonipa story za maisha Kama mnavyojua nami pia hapa nilipo ni kwa sababu ya msaada kutoka kwa watu na Kama mnakumbuka Kuna uzi wangu humu story ya kutoka Singida to dar kwa kutafuta kupata msaada wa elimu.
Basi kijana alitiririka vizuri nikapendwa na kufurahia nikaona isiwe tabu ngoja tuone tinawezaje kuionuana, nilifunga baadhi ya vifaa na kutaka kupima Imani yake vizuri kwanza nilichukua camera mbili laptop 1 heavy na baadhi ya taa na vitu vingine nikavifungasha kutokea Canberra ofsi ya DHL gharama zote juu yangu yeye ni kwenda kupokea tu.
Kweli vifaa vilifika salama kabisa akaenda kuvichukua na akakabidhiwa Ila kwa mtego wa Hali ya juu amekaa na vifaa hivyo week mbili sasa bila kuanza kazi na akaanza kuvitafutia soko la kuviuza, kwa bahati nzuri katika mitego yangu yote kajitokeza jamaa ambae ni moja ya watu niliokuwa nimewatega kajifanya kuvinunua nae kwa ujinga akaruhusu kumpa jamaa kwa kuahidiwa kuwa jioni ya Leo apitie pesa yote.
Baada ya kupewa ahadi hiyo jamaa akaenda kukata tiketi ya kesho kwenda Geita coz kwa Imani yake fedha ya kuanzia maisha anayo lakini mda wa kurudi Kama saa 5 na madakika akitokea kukata ticket now kawekwa mikono salama, atalipa fedha zote za usumbufu wa usafirishaji wa vifaa na Mambo mengine.
Huyu kijana ni member humu na baada ya taratibu zingine kukamilika nitapandisha uzi kwa kila hatua na mazungumzo yote jinsi ilivyokuwa Hadi kufikia Leo dogo yupo lockup.
My take: vijana mjitahidi kusoma alama za nyakati si kila mtu ni mzembe kiivyo na mpumbavu kiasi kwamba una uwezo wa kufanya chochote wengine sisi katika maisha yetu ya mateso tumejifunza mengi na kufuzu vingi kuliko elimu ya darasani, Mungu awasaidie mtoke kwenye ujinga na kwenda nuruni tupo tayari kuwasaidia lakini hatupo tayari kwa watu wazembe kiasi hiki, Mungu anawapenda mno.
"Kijana geuka"
Pengine wakati utatusuta. Watanzania wengi hatuaminiki. Yani kuna wakati tunaiba hata kama wizi haukusaidii. Ni kama hulka hivi.Wakuu habari za Mchana huko home Tanzania,

Naungana na wote wanasema huyu jamaa ni tapeli. Nina sababu kama tano zenye mashiko kuwa wanatafuta watu wa kupigwa tena sio uzi huu hapa peke yake, nyuzi nyingi na comments za huyu mwamba ni utapeli kwenye maandalizi
Nishaonya watu kuwa kuna mtu anadai yuko nje na kuna mwingine anadai yuko Uarabuni watakuja katapeli watu. Kwenye nyuzi za utapeli nikiwa nataja wawili wale mmojawapo ni huyu OP
Kaveli come on and see