Matapeli wengi Sana humu,Kuna mpuuzi mwingine akajifanya yupo kijijini huko singida na Kuna wadada kibao wa kazi.kwakua nilikua na shida nikaanza kuwasiliana nae,Mara akaniambia amepatikana ongea nae,nikiongea na huyo dada network mbovu nikiongea na huyo dada network mbovu ila simu akiwa nayo huyo tapeli anasikika vzr kabisa.akaniambia tuma hela ya udalali na nauli ya huyo binti.nikamuuliza atapandia basi wapi anasema singida mjini,nikamwambia ukifika stand kesho na huyo bint nakutumia hiyo hela yako,siku hiyo nikatuma 15,000 ya kutokea kijijini,kesho asubuhi akaniambia yupo stand na bint wanasubiri basi,nikamtuma jamaa yangu aenda hapo stand akamcheki huyo jamaa na binti kama anafaa.nikampigia simu kumwambia hivyo na nikamwambia hela yako jamaa anayo hapo hapo stand,baada ya hapo hakupokea simu tena